Dar es Salaam port overtakes Mombasa in handling Rwanda bound cargo

they should do the same for Uganda cargo build Tanga-Musoma railway and the distance will be shorter in comparison to Mombasa's
 
siku aliyokuja kagame,mseven,na uhuru kufungua bandari ya mombasa trust me KAGAME alizomewa sana na wakenya wakilalamika kenya haitafaidika na mapato ya bandari ,nafikir kagame alipata aibu kubwa
 
Uwepo wako Kenya haujabadilisha akili za Kiudanganyika, kwa jinsi gani ama akili gani tunaweza mzomea Kagame wakati ni mteja wetu.
 
"
It is also feared that the Port of Mombasa could grind to a halt should Tanzania complete the $330 million harmonisation of its railroad network with those across Central and Southern Africa ahead of the East African standard gauge railway.

“This is Kenya’s chance to prove that it is an economic powerhouse by linking East and West Africa. If this fails, the economic loss may be huge,” said Transport and Infrastructure Cabinet secretary Michael Kamau. "

SOURCE:Daily Nation - Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports, Blogs, Photos, Videos

..someni maelezo ya Waziri wa Kenya.

..ndani ya serikali yao wanakiri na kupanga "ligi" dhidi ya Tz.

..na sisi wa-Tz tunatakiwa tufanye yetu. tena tufanye kwa wakati, na kwa ufanisi.

cc Kimweri, falcon mombasa, flyingcrane, MK254, Geza Ulole Kapwila Matulu

Kwanza hakuna sehemu waziri amekiri Kenya kuwa kwenye ushindani na Tanzania, ameelezea vizuri kwamba fursa ndio hii ya Kenya kuunganisha Afrika Magharibi na Mashariki, ila pia sio siri, nchi zetu hizi zipo kwenye ushindani na moja ikiwa kila siku inajaribu kila njia na namna ya kuifikia nyingine.

Halafu hilo la kuwarai Watanzania mfanye yenu, mbona mmechelewa, kila siku mnadai kufanya yenu, hadi leo mnafanya yenu. Waswahili tu.
 
..eti Waswahili? heri yenu nyinyi wazungu.

..tumewazidi kwenye UTALII.

..pia tumewazidi ktk kusafirisha mizigo ya Br, Rw, na DRC.
 
Moja kati ya malengo ya EAC ni kufanya taifa moja katika ukanda wa Afrika Mashariki (kama sijakosea)
Ila kwa mabishano na matusi yanoendelea kati ya Kenya na Tanzania sioni kama lengo hilo litawezekana!!
Hiv watu mnashindwa kufanya la maana kuendeleza maisha yenu badala ya kubishania upuuzi?!
Kama Kenya au Tanzania atafanya lolote lile kama ww umekaa bize kubishania upuuz tutazidi kuwapa ulaji wazungu wanaokuja kuwekeza na sisi kubaki kubishania hatua iliyopiga na nchi hiz kimaendeleo!
 
..eti Waswahili? heri yenu nyinyi wazungu.

..tumewazidi kwenye UTALII.

..pia tumewazidi ktk kusafirisha mizigo ya Br, Rw, na DRC.

Hehehe!!! Waswahili kweli mnatabu, hebu nenda kaangalie ramani na urudia mara kadhaa uone hizo nchi unazoshindana nasi ziko wapi na sisi. Leta ligi dhidi ya Sudan Kusini ndio nitahama nchi.
 
JokaKuu Sasa mbona huwa mnaishi maisha ya kubabaika babaika hivi, takwimu hata za nchi ambazi zipo huko kwenu lazima muongelee Kenya.

Ugomvi wetu na Kenya ni wivu wa maendeleo hii ni positive.... hatugombani kwa lingine na nchi zote zingekua kama sisi na kenya amani ingetawala
 
Nadhani tunajisifia ujinga...tunapaswa kujisifia ufanisi wa bandari ya Darves salaam dhidi ya Mombasa. Inawezekana mizigo mingi ya Rwanda inapita bandari ya Dar es salaam kwa sababu ya umbali na lojistik za kusafirisha mzigo toka Mombasa kwenda Kigali. Tu nahitaji kuboresha ufanisi wa bandari ya Dar ambao bila shaka ni mbovu.
 
"
It is also feared that the Port of Mombasa could grind to a halt should Tanzania complete the $330 million harmonisation of its railroad network with those across Central and Southern Africa ahead of the East African standard gauge railway.

“This is Kenya’s chance to prove that it is an economic powerhouse by linking East and West Africa. If this fails, the economic loss may be huge,” said Transport and Infrastructure Cabinet secretary Michael Kamau. "

SOURCE:Daily Nation - Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports, Blogs, Photos, Videos

..someni maelezo ya Waziri wa Kenya.

..ndani ya serikali yao wanakiri na kupanga "ligi" dhidi ya Tz.

..na sisi wa-Tz tunatakiwa tufanye yetu. tena tufanye kwa wakati, na kwa ufanisi.

cc Kimweri, falcon mombasa, flyingcrane, MK254, Geza Ulole Kapwila Matulu

Mkuu joka kuu kinachotutesa sisi ni poor management

Kiufupi ni mismanagement ya Serikali ya CCM

Otherwise reli ya mwendo kasi kutoka Dar to Kigoma and Dar to Malawi,Zambia and Congo ingekuwa kitu Rahisi sana.
 
Last edited by a moderator:
Yani ruwaza ya Tanzania,malengo,mipango na nguvu kazi yote ya nchi imeelekezwa kuishinda Kenya..nashangaa mno sababu huku Kenya wapo watu wengi hata wasiojuwa rais wa Tz nani ama kujihusisha na mambo ya Tz..i pitty you very. much and you generations to come

Sisi huku tunajua rais wa kenya ni ICC candidate...
 
Mkuu joka kuu kinachotutesa sisi ni poor management

Kiufupi ni mismanagement ya Serikali ya CCM

Otherwise reli ya mwendo kasi kutoka Dar to Kigoma and Dar to Malawi,Zambia and Congo ingekuwa kitu Rahisi sana.

Pamoja na kuwa na advantage in location wise, bandari ya dar es salaam ilitakiwa kuwa the key player kwa nchi zote za mashariki na kati ya afrika...
Tulitakiwa kuwa na reli kuunganisha nchi zote na kila nchi iwe na dry port ndani ya tanzania ili bidhaa zao zisipate kikwazo chochote...
 
Uko sahihi....Tumekaa vizuri sana Kijiografia

Sema serikali yenyewe ni ya mandorobo
 
Hehehe!!! Waswahili kweli mnatabu, hebu nenda kaangalie ramani na urudia mara kadhaa uone hizo nchi unazoshindana nasi ziko wapi na sisi. Leta ligi dhidi ya Sudan Kusini ndio nitahama nchi.

..na wewe lete ligi dhidi ya Zambia na Malawi ndio nitahama nchi.
 
Pamoja na kuwa na advantage in location wise, bandari ya dar es salaam ilitakiwa kuwa the key player kwa nchi zote za mashariki na kati ya afrika...
Tulitakiwa kuwa na reli kuunganisha nchi zote na kila nchi iwe na dry port ndani ya tanzania ili bidhaa zao zisipate kikwazo chochote...

..hilo la mismanagement alilosema Freeland ni kweli.

..we made a serious mistake kubinafsisha reli kwa kampuni ya kihindi isiyokuwa na uwezo.

..kuhusu dry port tunayo ya mizigo ya Rwanda iko eneo linaitwa Isaka. again, ni ujinga wa serikali ya CCM kwamba eneo hilo halitumiki ipasavyo.

..sasa hivi kuna mradi mkubwa wa reli 3 umetangazwa. sasa lets see kama utatekelezwa ama la.
 
Ujenzi wa reli ulitakiwa uwe kwa kasi ya ajabu kumeet the existing demands...

Mara nyingi CCM wanaongoza kwenye kutangaza miradi hewa, nchelea kusema hata huu wa reli ni mradi hewa..
 
Back
Top Bottom