Wakti namsikiliza Mheshimiwa mgeni wetu adhyim, Rais wa Muungano wa Mataifa ya Kimerekani (USA), Barack Hussein Obama, alipoitaja Dar Es Salaam, aliitafsiri kuwa ni "Habour of Peace". Mheshimiwa kama ulitafsiriwa hivyo, wamekosea watafsiri wako, kama ni wewe mwenyewe, kwani naelewa kuwa unakijuwa Kiswahili, basi umekosea.
Maana halisi ya Dar Es Salaam, ni ngumu sana kuitafsiri ikiwa huupendi Uislaam.kwani Dar Es Salaam inapatikana ndani ya Qur'an ikimaanisha ni moja kati ya pepo au kwa maulamaa wengine, moja kati ya milango ya kuingilia peponi, kwa maana moja au nyingine inamaanisha "haven of Peace" au "Nyumba" ya amani au kwa maana halisi "Pepo" ya amani.
Aliyekufunda kuwa Dar Es Salaam ni "Habour of Peace" hakuutendea haki wewe wala hakututendea haki sisi wa Dar Es Salaam.
Kwa kusherehesha; Dar Esalaam si jina geni kwa miji ya duniani na haikuanzia hapa kwetu, kuna nchi nyingi ambazo zina majina ya majiji au miji iitwayo hivyo kwa lafdhi tofauti, maarufu ni Jerusalem, ina maanisha hivyo-hivyo. Nyingine ni Daussalaam, iliyopo Brunei, Ni hiyo hiyo, kama yetu tu.
Mnhhh mnhhh!
Karibu mgeni wetu.
Akishajua hilo ndipo umaskini utatoweka? Foleni zitakwisha? Ufisadi utakwisha? Wanafunzi watafaulu? Shule zitajaa vifaa? Hilo jina linaisadiaje nchi yetu kuondokana na utegemezi uliokubuhu?
Zomba na udini. Sasa DAR ni NENO LA KIISLAM.
It seems anything with arabic accent ni Uislam.
Akishajua hilo ndipo umaskini utatoweka? Foleni zitakwisha? Ufisadi utakwisha? Wanafunzi watafaulu? Shule zitajaa vifaa? Hilo jina linaisadiaje nchi yetu kuondokana na utegemezi uliokubuhu?
Yes. Kama hujui ndio hivyo, kuanzia leo umejuwa.
Somaga basi ata kidogo historia ya taifa lako sio baraka ya kutafsiri Quran tu. Waliita hivyo kwa sababu muda waliofika waarabu walikuwa wanakimbia vita vya dini kwao na huo ufukwe waliukuta umetulia na wenyeji wakarimu ndio chanzo cha kutoa hilo jina la Dar es Salaam kutokana na waliyoyaacha huko nyuma.Wakti namsikiliza Mheshimiwa mgeni wetu adhyim, Rais wa Muungano wa Mataifa ya Kimerekani (USA), Barack Hussein Obama, nilimsikia alipoitaja Dar Es Salaam, aliitafsiri kuwa ni "Habour of Peace" (labda iwe ung'eng'e ulinipiga chenga). Mheshimiwa kama ulitafsiriwa hivyo, wamekosea watafsiri wako, kama ni wewe mwenyewe, kwani naelewa kuwa unakijuwa Kiswahili kwa kiasi fulani, basi umekosea.
Maana halisi ya Dar Es Salaam, ni ngumu sana kuitafsiri ikiwa huupendi Uislaam na umeaminishwa na wabaguzi wa ujinga, kwani Dar Es Salaam inapatikana ndani ya Qur'an ikimaanisha ni moja kati ya pepo au kwa maulamaa wengine, moja kati ya milango ya kuingilia peponi "Baab Dar as Salaam", kwa maana moja au nyingine inamaanisha "haven of Peace" au "Nyumba" ya amani au kwa maana halisi "Pepo" ya amani.
Aliyekufunda kuwa Dar Es Salaam ni "Habour of Peace" hakukutendea haki wewe wala hakututendea haki sisi wa Dar Es Salaam.
Kwa kusherehesha; Dar Es Salaam si jina geni kwa miji ya duniani na haikuanzia hapa kwetu, kuna nchi nyingi ambazo zina majina ya majiji au miji iitwayo hivyo kwa lafdhi tofauti, maarufu ni Jerusalem, ina maanisha hivyo-hivyo. Nyingine ni Daussalaam, iliyopo Brunei, Ni hiyo hiyo, kama yetu tu.
Mnhhh mnhhh!
Karibu mgeni wetu.
Kwa maoni yako,nini tofauti kati ya "harbor of peace" vs "haven of peace"?Wakti namsikiliza Mheshimiwa mgeni wetu adhyim, Rais wa Muungano wa Mataifa ya Kimerekani (USA), Barack Hussein Obama, nilimsikia alipoitaja Dar Es Salaam, aliitafsiri kuwa ni "Habour of Peace" (labda iwe ung'eng'e ulinipiga chenga). Mheshimiwa kama ulitafsiriwa hivyo, wamekosea watafsiri wako, kama ni wewe mwenyewe, kwani naelewa kuwa unakijuwa Kiswahili kwa kiasi fulani, basi umekosea.
Maana halisi ya Dar Es Salaam, ni ngumu sana kuitafsiri ikiwa huupendi Uislaam na umeaminishwa na wabaguzi wa ujinga, kwani Dar Es Salaam inapatikana ndani ya Qur'an ikimaanisha ni moja kati ya pepo au kwa maulamaa wengine, moja kati ya milango ya kuingilia peponi "Baab Dar as Salaam", kwa maana moja au nyingine inamaanisha "haven of Peace" au "Nyumba" ya amani au kwa maana halisi "Pepo" ya amani.
Aliyekufunda kuwa Dar Es Salaam ni "Habour of Peace" hakukutendea haki wewe wala hakututendea haki sisi wa Dar Es Salaam.
Kwa kusherehesha; Dar Es Salaam si jina geni kwa miji ya duniani na haikuanzia hapa kwetu, kuna nchi nyingi ambazo zina majina ya majiji au miji iitwayo hivyo kwa lafdhi tofauti, maarufu ni Jerusalem, ina maanisha hivyo-hivyo. Nyingine ni Daussalaam, iliyopo Brunei, Ni hiyo hiyo, kama yetu tu.
Mnhhh mnhhh!
Karibu mgeni wetu.
kilaza...kama bajeti yako ya chakula kwa siku miaka 10 nyuma ilikuwa 2000 na leo ni 10,000 utasema umeendelea kwa kuwa kuna tofauti ya 8,000..? au na wewe ni "mchumi wa daraja la kwanza"?
Umaskini tulioingizwa wakati wa Nyerere nna uhakika hujaona, wala foleni za wakati huo nna uhakaika hujaziona, umeshakaa foleni ya vibiriti wewe? Leo una foleni za neema na maendeleo za magari, unahaha.
Kuna ufisadi zaidi ya kupoteza watu wasijulikane walipo? Unayajuwa ya Kassim Hanga?
Chukuwa idadi ya wanafunzi woooooooote waliofaulu wakati wa Nyerere, nachukuwa idadi wanafunzi waliofaulu wakati wa Kiwete kwa muhula mmoja, tuwekee hapa, kama hujajiaibisha. Huwezi.
Kwa mara ya kwanza tunaiona Tanzania ikijitegemea yenyewe kwa asilimia zaidi ya 65. Jee, uliwahi kuiona ikijitegemea zaidi ya hivyo? weka ushahidi. Huwezi.
Jina lipi linalokupa shida> Barack Hussein Obama? au Jakaya Mrisho Kikwete? au Zomba? weka wazi. Huwezi!
Kwa kukupa darsa tu, tuko katika masiku ya "Mrisho" huu ndio msimu wake, kabla ya Ramadhan. Jee, unajuwa maana ya Mrisho?
Ndugu yangu una matatizo makubwa na msongo wa mawazo, maana kila kitu unawaza kibaguzi baguzi tu... Kwani huyu uliyemjibu kuna mahali amefananisha utawala wa raisi yeyote? Mkuu una uwezo mkubwa wa kuwaza nje ya udini udini...
Soma vizuri post namba moja.
kilaza...kama bajeti yako ya chakula kwa siku miaka 10 nyuma ilikuwa 2000 na leo ni 10,000 utasema umeendelea kwa kuwa kuna tofauti ya 8,000..? au na wewe ni "mchumi wa daraja la kwanza"?
Huelewi unachokiandika kuwa ubaguzi wa ujinga.
Nna uhakika hujui maana ya dini. Ukitaka kupata darsa kuhusu maana ya "dini" uliza.