Dar es Salaam mpya ya "Kunenge"

Dar es Salaam mpya ya "Kunenge"

I suspect Kunenge ni Mtiifu kwa Bashite..

"Kwenye Mkoa wangu" kauli maarufu sana ya Makonda, tutaimis hii..

Naona Dar imepata Mkuu Wa mkoa Mtendaji, siyo mwanasiasa.. Tuone atakuja na jipya gani.

Let's wait to see Kunenge's wonders..
 
His face says a lot, let's wait and see.

Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Daah juzi kati alikuwa ameanzisha operation tokomeza michepuko

Kwa hili alinifurahisha sana
You see! Sasa mambo gani hayaa, watu tushindwe kufurahi na michepuko kisa mtu mmoja.

Sasa umchunge mwenyewe shemeji "mtetezi" wenu hayupo tena 😅

Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Back
Top Bottom