Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

Hatimaye now i can breath.

...source?! au upo eneo la tukio? hebu confirm hapa roho yangu itulie,nimechoka kusubiri..

Sikiliza ITV, na Radio One. Muda huu utapata maelezo. MSimamizi wa uchaguzi Eng. Mussa anajiandaa kusema nani kapata ngapi. Lakini Mdee ameshinda.

Ingawa Kipi Warioba anapinga na ameahidi kuongea na waandishi wa habari baadaye kuelezea. Na K. Warioba ameondoka eneo la tukio
 
Eti kidume tena mtoto wa aliyekuwa PM anayejipambanua kama muadilifu wa waadilifu kinashindwa vibaya na mwanamke alafu kinalazimisha kuiba kura ili kupata ubunge!
 
Ila segerea wamekosa mtu muhimu sana....mtatiro kasoma na kaka angu alikua mtu strong sana toka yupo chuo kama waziri serikal ya wanafunzi DARUSO
 
Mungu akulinde Halima....!!!

Kippi Warioba aondoka kituoni, amesema hakubaliani na MATOKEO..
kwani MKURUGENZI atamtangaza HALIMA MDEE...!!! ITV live dak. chache watatangaza Halima kashinda kwa kiwango gani...!!

Mungu yuko nasi...!!!
 
Back
Top Bottom