Dar es salaam mambo yamefika huku

Dar es salaam mambo yamefika huku

Khaaaaa
Kuna jamaa kafungua kampuni ya kupandikiza mbegu wanawake kama unataka mtoto unaenda wanakupandikiza.

NB; Ukitaka mbegu ya Sholo mwamba hayaa ukitaka ya Chid Benz hayaa, ukitaka ya My American Experience hayaaa.
 
Mbona ziko nyingi sana!
Mko dunia gani nyie watu walahi!
 
Kampuni ya kufyatua watoto yafunguliwa rasmi
Kilio cha wanaume wa dasilamu kitamalizwa na huyu bishooView attachment 843279

Sent using Jamii Forums mobile app

THAT'S RUBBISH TALK. KAMPUNI GANI UNAPIGA MITI WANAWAKE HII LABDA HUKO NA ITAKUWA YA KINYEMELA ILA HUWA TARATIBU SPERMS ZINA HIFADHIWA KWENYE MA FRIDGE KWENYE VYOMBO MAALUM NA HUPANDIKIZWA KWA WANAWAKE. HUYU JAMAA NA WENZIE NI GIGOLO Maana yake ni mwanaume anaetembea na wanawake kama mpenzi na analipwa na hao wanawake.
 
Kampuni ya kufyatua watoto yafunguliwa rasmi
Kilio cha wanaume wa dasilamu kitamalizwa na huyu bishooView attachment 843279

Sent using Jamii Forums mobile app
ALAFUHUYUJAMAA HAJIELEWI SI ALIKUWA ANAFANYA MODELING, MARA ANAADIKA MOVIES SCRIPT , MARA ANAKAMPUNI YA KUKODISHA MAGARI NA SASA HII YA MITI. HUYU HAJIELEWI NAHISI KAKOSA DIRA SASA ANATAPATAPA........DRAWNING IN HIS ACTIONS
 
Back
Top Bottom