Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,938
Ni wiki sasa kila siku ninakuwa na safari ya nenda rudi Temeke to Mvuti kwenda kuangalia maendeleo ya kibanda changu kinachojengwa huko. Barabara kuu imejaa vibao vya makanisa kuliko vibao vya shule na vyuo.
Je, sasa Tanzania tunahitaji huduma za kiroho zaidi kuliko huduma za elimu na afya?
wanakusanya sadaka, waumini wanachanga hela wanajenga nyumba ya bwana anaishi mchungaji, wanamnunulia gari mchungaji anadrive mitaa ya msongola anakatiza mvuti hadi chanika kuhumia watu kiroho. wanaohudumiwa wanafanya kazi ngumu hela zinaatafunwa makanisani
Kumbe lodge nayo ni moja ya nyumba za starehe?Mbona nyumba za starehe kama bar na lodge zinaongezeka kila siku na hushangai ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Makazi
Kumbe!!!ofisi za watu hizo.
Hii comment ni konkiwanakusanya sadaka, waumini wanachanga hela wanajenga nyumba ya bwana anaishi mchungaji, wanamnunulia gari mchungaji anadrive mitaa ya msongola anakatiza mvuti hadi chanika kuhumia watu kiroho. wanaohudumiwa wanafanya kazi ngumu hela zinaatafunwa makanisani