Dar es Salaam makanisa yako mengi kuliko Shule za Msingi na Sekondari. Hii maana yake nini?

Umesahau lengo la kuishi ni kumuomba Mungu na kusifu tu...hayo mengine nyongeza.
Ni wiki sasa kila siku ninakuwa na safari ya nenda rudi Temeke to Mvuti kwenda kuangalia maendeleo ya kibanda changu kinachojengwa huko. Barabara kuu imejaa vibao vya makanisa kuliko vibao vya shule na vyuo.

Je, sasa Tanzania tunahitaji huduma za kiroho zaidi kuliko huduma za elimu na afya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi navyojua bar ni nyingi kuliko hayo makanisa unayosema,ila umeona bar ni sawa kuwepo ila siyo makanisa. Basi sawa tutakutana Mbiguni kwa Baba utuelezee vizuri hiyo theory yako mkuu
 
Tazamen hapa kagera na Kilimanjaro panazidi Dar Kwa idadi ya shule za msingi.

Inashangaza Sana
tapatalk_1578732527812.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona wewe ni mgeni na nchi hii,au hujawahi kutembea,umesha wahi kufika Mbeya? Makanisa ni mengi kuliko watu.
 
Back
Top Bottom