Dar es salaam kuwa kitovu cha bidhaa za refurbished

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,124
Reaction score
6,141
Kama nchi ni muhimu sana kuwa sehemu ya soko la refurbished ili kukuza wigo wa ajira na kuongeza mapato ya serikali

NIKIWA RAIS DAR ES SALAAM ITAKUWA NI KITOVU CHA BIDHAA ZA REFURBISHED

The global refurbished electronics market is experiencing substantial growth, with a projected market size of USD 123.71 billion by 2033. This represents a significant increase from an estimated USD 85.42 billion in 2021, with a compound annual growth rate (CAGR) of 10.03%.

Dar es salaam inauwezo wa kuipita dubai kwenye ukanda huu Kama center ya refurbished nikiwa Rais ntafanya mambo yafuatayo ili kukamilisha hili wazo
  1. Kuboresha miundombinu ya jiji la dar es salaam kwa kupangilia upya na vizuri
  2. Kuboresha Sewage system
  3. Kuweka zoning za bidhaa za refurbished
  4. Kupiga paving eneo lote la dar es salaam
  5. Kuyaboresha maeneo ambayo yamezunguka mji kama magomeni, manzese, kigogo, mburahati, ilala, Tandale, sinza, kijitomanyama, kinondoni, haya maeneo yatakuwa ni makazi ya watu na mda huo huo ni kitovu cha refurbished
Common refurbished products
  • Smartphones
  • Laptops
  • Tablets
  • Smartwatches
  • Gaming consoles
 
Hivi mh utafanya nini ili kuhakikisha wananchi wako tunapenda mambo ya muhimu ,? Uzi mzuri kama huu kukosa wachangiaji ni msiba 🤔
 
Hautapata watu wengi kulingana na mentality ya watanzania walio wengi ambao hawapendi kupa msisitizo mambo ya msingi ila taratibu taratibu tutafika
 
Common refurbished products
  • Smartphones
  • Laptops
  • Tablets
  • Smart watches
  • Gaming consoles
 
Kama nchi ni muhimu sana kuwa sehemu ya soko la refurbished ili kukuza wigo wa ajira na kuongeza mapato ya serikali

NIKIWA RAIS DAR ES SALAAM ITAKUWA NI KITOVU CHA BIDHAA ZA REFURBISHED
👇👇👇👇👇👇👇
The global refurbished electronics market is experiencing substantial growth, with a projected market size of USD 123.71 billion by 2033. This represents a significant increase from an estimated USD 85.42 billion in 2021, with a compound annual growth rate (CAGR) of 10.03%.

Dar es salaam inauwezo wa kuipita dubai kwenye ukanda huu Kama center ya refurbished nikiwa Rais ntafanya mambo yafuatayo ili kukamilisha hili wazo
  1. Kuboresha miundombinu ya jiji la dar es salaam kwa kupangilia upya na vizuri
  2. Kuboresha Sewage system
  3. Kuweka zoning za bidhaa za refurbished
  4. Kupiga paving eneo lote la dar es salaam
  5. Kuyaboresha maeneo ambayo yamezunguka mji kama magomeni, manzese, kigogo, mburahati, ilala, Tandale, sinza, kijitomanyama, kinondoni, haya maeneo yatakuwa ni makazi ya watu na mda huo huo ni kitovu cha refurbished
Common refurbished products
  • Smartphones
  • Laptops
  • Tablets
  • Smartwatches
  • Gaming consoles
Utaua local innovation

Utadrain hard currency reserves

Utafanya nchi kuwa dumple la bidhaa zilizotumika nje

Utaua future ya uchumi wetu kutoka kwenye production na kubakia uchumi wa kichuuzi
 
Sio kosa kuwa na viwanda vya refurbished China japokuwa wanaviwanda vingi still wana viwanda vya refurbished ulishawahi jiuliza kwanini

Hata bidhaa zilizotumika ndani ambazo ni used zitafanywa na kuwa refurbished
 
Hakuna viwanda VYA refurbished ila Kuna workshops za kurestore worthiness ya bidha zilizotumika ziweze kutumika tena....

Utaua industrial base ya nchi

Ni viwanda vidogo vidogo
Mbona china wana workshops nyingi sana za refurbished tena watakuwa wanaongoza
 
Hiyo ni sehemu ya kupunguza takataka baada ya kutumika,

Kama Kiongozi kuwaza kuanzisha viwanda VYA refurbished ni sawa na kuridhia nchi kuwa dumple
Sio kweli kama nchi lazima itafutwe namna yeyote ya kutengeneza fedha

Hizo bidhaa za refurbished za China kwa kiwango kikubwa zinauzwa nje ya nchi
 
1. nikwakiwango gani sisi tunatoa bidhaa nje zikafanyiwe refurbishment
2. nikiwango kikubwa kiasi gani cha watanzania wanaotumia bidhaa mpya kabisa

kwako Mr. President
 
Back
Top Bottom