Kweli Mkuu hayo ni mapungufu ambayo yanatokea!Mkuu..
Kitaaluma ujenzi wa vertical settlements ni mzuri sababu unauwezo waku accomodate watu wengi eneo moja
Kibaya ni haya makazi ya aina hii siku zote hua termed as Slams..zero privacy
Mkuu Kazi ya Engineer na Architect Hii wala haina Shida!waafrika tuache kuiga bila kutumia akili, kati ya vitu vinavyoathili hali ya JOTO dar ni majengo marefu yasiyojali mpangilio.
jambo la kufanya ni kununua maeneo na kuyapima na ''kuyadizain''i kwa kujali kwamba HEWA na UPEPO vinapita
JAMBO HILI LIZINGATIWE DODOMA pia. kwetu ni JOTO ULAYA NI BARIDI.