MOI JOHN
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 1,736
- 1,078
Kwa hiyo mpaka nianze LEVEL I
Kwa hiyo mpaka nianze LEVEL I
YesDIT wanatoa wataalamu wa ukweli katika sector ya Engineering,ila sema kuna ubepari wa unao fanywa ili ile taasisi isiendelee
Ha ha aaa liwondo mikwara Mingi balaa... Ila mkiramwen complicator ha ha aa..CTO ulivyo zitaja izo sehemu umenifurahisha sana, kijiwe changu cha kusomea ilikua ni C.B.E na I.F.M ah ah ah! Ukinikosa huko nipo room block v wapi mzee Liondo na Mkilamwene na Dr. Saa nane walikua wanafanya wanafunzi hatulali
liwondo yupo mkiramweni na dr saanane walisha staafu dr saanane kwa sasa yupo st.joseph pamoja na dr kilimoHa ha aaa liwondo mikwara Mingi balaa... Ila mkiramwen complicator ha ha aa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh... Noma sanaaaliwondo yupo mkiramweni na dr saanane walisha staafu dr saanane kwa sasa yupo st.joseph pamoja na dr kilimo
Kama ana C ya esabu na D ya phy, chem, bio, geog, eng, kisw na F ya civ na hist apo inakuaje1. Directly entry kwa Diploma in engineering, unatakiwa uwe na cretid tatu yani C na kuendelea.
2. Indirectly entry kama una D tano, utafanya pre-entry course kwa mda wa wiki 12 then mtafanya mtihani.
3. Indirectly entry for B'eng unatakiwa kufanya pre-entry course kwa mda wa mwaka moja na mitihani juu yenye ku include CA na FE
4. Directly entry for B'eng apply TCU
Kuna masters za engineering maintainance na computation science and engineeringMSAADA WA MASTERS COURSE WANAZOTOA HAPO DIT
Kuna masters za engineering maintainance na computation science and engineering
Huwa wanatoa application schedule kuanzia Aprilmuda wa kuapply ni upi
That's gud...hongeren sanahaaa! Mkuu ndo unajua leo???? Kama umeenda hapo ukawa unapiga blah! blah! Mwisho wa siku ukaja na kiproject chako cha kizushi lazima utaumbuka tu kwenye kukitetea mbele ya jopo la malecturers na lazima utarudi kujipanga upya la sivyo habari ya degree ama diploma utaisikiaga tu!
Thanks boss1. Directly entry kwa Diploma in engineering, unatakiwa uwe na cretid tatu yani C na kuendelea.
2. Indirectly entry kama una D tano, utafanya pre-entry course kwa mda wa wiki 12 then mtafanya mtihani.
3. Indirectly entry for B'eng unatakiwa kufanya pre-entry course kwa mda wa mwaka moja na mitihani juu yenye ku include CA na FE
4. Directly entry for B'eng apply TCU
sidhani kama zipo masters hapo ila NIT zipo
Nina Shahada ya Elimu(Sanaa),
Advance nilisoma HKL. Je, naweza
kusoma Electrical ngazi ya Diploma?
Ha ha aaa liwondo mikwara Mingi balaa... Ila mkiramwen complicator ha ha aa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Dr saanane kaenda wapi tena? 2014 alikamata nusu ya darasa, wote walipigwa sup, graduation yao walikua wachacheLiwondo kashika mikoba ya dr saanane
Iphone .............
Hzo course za Eagle wings hazipo DIT kama amepiga fresh Math, Physics, Chemistry/ English mwambie akomae na Telecommunication Engineering ila kumaliza DIT salama ni jambo la Kumshukuru Mungu.Wakuu nataka kuja kusoma ufundi simu hapo DIT, Kama kuna mtu anelewa namna ya kujoin hapo aniambie, na muda wa kozi vile vile..
Kama O'level ulifaulu kwa ngazi ya C haya masomo unawezaNina Shahada ya Elimu(Sanaa),
Advance nilisoma HKL. Je, naweza
kusoma Electrical ngazi ya Diploma?