Dar es salaam ibadilishwe jina | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dar es salaam ibadilishwe jina

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Nov 18, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,721
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  wakuu nilikuwa naangali tv nikaona mji unaitwa dar es salaam huko yemen,yaani nilichukia kweli yaani kumbe wale waarabu waliokuja hapa karne ya 18 na kuwachukua babu zetu kwenda kuwauza walikuja na hilo jina la kimajini majini.

  Nawaomba chadema wafanye kama sata kubadilisha jina la uwanja wa ndege siku yake ya kwanza madarakani,mkichukua tu nchi jambo la kwanza badilisheni hilo jina inawezekana lina laana ndio maana maisha yetu watanzania hayaeleweki.

  Ni ombi wakuu naomba sana
   
 2. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 2,902
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Nashangaa, mbona jina (Mzizima) lililokuwa likitumika mwanzo lilikuwa zuri?
  Kwa nini tusiachane na hili jina linaloashiria utumwa?...
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,780
  Likes Received: 530
  Trophy Points: 280

  there are many reasons why they want us to join OIC.
   
 4. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,966
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  Acheni kuwa na mawazo ya kizamani. Dar es Salaam maana yake ni Bandari salama. Wewe umeona mji wa Yemen tu. Mji mkuu wa nchi inayoitwa Brunei unaitwa Dar es Salaam.
   
 5. norbit

  norbit JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 402
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  napendelea tuite VATICAN
   
 6. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 8,950
  Likes Received: 2,670
  Trophy Points: 280
  hata Egypt kuna mji unaitwa Dar es salaam!!
   
 7. BBJ

  BBJ JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Ingefaa uitwe CAMERON.
   
 8. F

  Fernandes Rodri JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 379
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mimi naona hata petroli tunayotumia tuache maana nayo inatoka huko huko usikokupenda wewe.
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Sahihisho kidogo hapo kwenye red: NI Darusaalam
   
 10. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #10
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  The town name is totally different it is Yemen's Dar al-Salam and not TZ Dar -es - salaam

  And Brunei is different as well Brunei Darussalam

  Even pronounce Different...

  WOW do your Investigation properly...

  Yemen ---- Dar al- salam

  Brunei ----- Darussalam

  TZ ------ Dar-es-salaam
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,045
  Likes Received: 18,542
  Trophy Points: 280
  mawazo ya ajabu haya......

  kila kitu kina historia yake hata kama wewe huipendi....

  wamarekani weusi na wao wadai historia za george washingtone zifutwe kwa sababu walikuwa

  wana ruhusu na kuitetea biashara ya utumwa??????

  jina la christopher columbus lifutwe kwa kuwa sio yeye aliegundua america?????

  ziwa victoria libadilishwe jina kwa sababu sio jina asili?

  na tanganyika nayo?

  neno Africa nalo lilitoka wapi???????
   
 12. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #12
  Nov 18, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,966
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  Nakubali Mkuu. Ulimi hauna mfupa.
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,749
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Hakuna la maana zaidi ya kubadili jina?
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,478
  Likes Received: 9,892
  Trophy Points: 280
  Bora tu huu mji usiwe na jina, hope itapendeza zaidi.
   
 15. n

  nyantella JF-Expert Member

  #15
  Nov 18, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 876
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Je, unajua gharama yake? au unakurupuka tu! Labda mji mkuu uhamishiwe karatu!
   
 16. Sele Mkonje

  Sele Mkonje Verified User

  #16
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 599
  Likes Received: 557
  Trophy Points: 180
  Eboo! 2kianza kubadilisha majina hata jina unalo2mia sio lako.,we umeona Dar es Salaam pekeyake coz ni la kiarabu?
   
 17. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #17
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,225
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  NAMELESS city
   
 18. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #18
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,721
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  wakuu hayo ni mawazo yangu tu'kwa nini tusiite jina la kiswahili kama miji mingine?
   
 19. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #19
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,220
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  achakutukana imani au makabila ya watu,majini majini ndio nini?
   
 20. v

  valid statement JF-Expert Member

  #20
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,732
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mji wa dar es saalam tu ndo ina jina la kitumwa Tanzania?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...