Dar es salaam ibadilishwe jina

Dar es salaam ibadilishwe jina

Status
Not open for further replies.
Hivi wanaJF katika hoja nyingi ninazosoma humu zinapima imani za watu. Kulikoni? It is annoying. Kama ukristo au uislamu ni kikwazo kwa maendeleo ya nchi yetu come out and say it loud. Maybe tujaribu ujiinga. This freedom of speech should not be abused. So many families are so intertwined your comments sound very shallow. Believe me I do not undermine them. They portray unafiki wetu waTz.
 
mawazo ya ajabu haya......

kila kitu kina historia yake hata kama wewe huipendi....

wamarekani weusi na wao wadai historia za george washingtone zifutwe kwa sababu walikuwa

wana ruhusu na kuitetea biashara ya utumwa??????

jina la christopher columbus lifutwe kwa kuwa sio yeye aliegundua america?????

ziwa victoria libadilishwe jina kwa sababu sio jina asili?

na tanganyika nayo?

neno Africa nalo lilitoka wapi???????

Unaonaje na wewe tukikubadilishia jina tukakuita Mnyapara??
 
wakuu nilikuwa naangali tv nikaona mji unaitwa dar es salaam huko yemen,yaani nilichukia kweli yaani kumbe wale waarabu waliokuja hapa karne ya 18 na kuwachukua babu zetu kwenda kuwauza walikuja na hilo jina la kimajini majini.

Nawaomba chadema wafanye kama sata kubadilisha jina la uwanja wa ndege siku yake ya kwanza madarakani,mkichukua tu nchi jambo la kwanza badilisheni hilo jina inawezekana lina laana ndio maana maisha yetu watanzania hayaeleweki.

Ni ombi wakuu naomba sana

Mtu kama huyu haoni shida kujiita "raia wa roma" a.k.a roman catholic!
Halafu mbona umesema CHADEMA ikichukua madaraka ndio ibadilishe jina? Kwa sababu kina agenda za kikanisa?
 
napendelea tuite VATICAN

Mtu kama huyu haoni shida kujiita "raia wa roma" a.k.a roman catholic!
Halafu mbona umesema CHADEMA ikichukua madaraka ndio ibadilishe jina? Kwa sababu kina agenda za kikanisa?

hapo sasa mkuu ukiwaambia CDM ni chama cha kidini wanakataa mdomoni.... lakini sometimes wanateleza na kuropoka wenye ...


 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom