kiwiko
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 1,341
- 2,218
Habari wakuu,
Hili jina ni la jiji kubwa kuliko yote nchini cha kushangaza ni la Kiarabu wakati nchi ni ya kiafrika tena wabantu.
Kwakweli ili kulinda utambulisho wetu napendekeza jina libadilishwe liwe la kibantu kama mikoa mingine tena la kizaramo kabisa.
Haiingii akilini kuwa na jina la Kiarabu kwa mji wetu huu wa kibiashara.