Dar es Salaam City in Photos

hayo maghorofa ni lazima yawe na drainage/sewerage system inayokidhi, pia infrastructures on how the city centre connects/links with surrounding neighborhoods maana huko katikati wanakaa 'waungwana'
2017 bado mambo ni yale yale kama 2011, tunaweza kutegemea haya haya 2025 pia!
 
Ila tatzo la Dar plan zko hovyo...Physically jiji halipo impressive hasa mchana...machinga,,bodaboda,,uchafu..
Poor plan..
Ila ktk picha..jiji lipo sawa na new York...
Pia ili jiji likamilike kuwa linalokuwa vzr...
Kuwe na balance ya maendeleo au kusiwe na utafauti mkubwa...
Mbagala,,tandika,,tandale,,mtongani nk ni uswaz sanaaa
 
2017
639c9c92ff90fa6a7eea984ef14a5b20.jpg
 
NDINDA pale askari monument kuna project gani? Wanaweka sewage system ya kuondoa ile adha ya mvua posta mpya au?
 
NDINDA pale askari monument kuna project gani? Wanaweka sewage system ya kuondoa ile adha ya mvua posta mpya au?
Yeah, wanatengeneza bomba la maji tka pamoja na ASKARI MONUMENT Beautification , hii ya Askari monument inaanywa na kampuni ya usafi ya Green waste Pro.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom