hayo maghorofa ni lazima yawe na drainage/sewerage system inayokidhi, pia infrastructures on how the city centre connects/links with surrounding neighborhoods maana huko katikati wanakaa 'waungwana'
Ni kweli pia ni kati ya majiji unplanned,nashauri ingefaa wangeunganisha Bagamoyo,kibaha na sehemu ya morogoro na sehemu ya tanga then utengenezwe satellite city(jiji la kisasa ambalo ni planned),halafu zihamishwe wizara zote zihamishiwe huko kwani ni dhahiri KUHAMIA DODOMA nadhani imekuwa ngumu.
NB; mfano mzuri Nigeria walihamisha mji mkuu toka LAGOS hadi ABUJA.
nice pic
naombeni kuuliza, hapa picha mnapost vipi? mbona mi kila nikipost kanaonekana kadogo? msaada kwenye tuta jamani:help: