Wenye vipara huwa hawatoki jasho sanaSasa sisi wenye vipara ni huruma ukikamuwa uso Kwa vidole kuanzia kichwani kuja usoni unamwaga Bomba la maji hatari,Hapo Sasa ndo unapitisha kitambaa kupiga polishing.Bila hivo vitambaa vote vitalowa uwe unavikamuwa.
mwanaume unatembea na kitambaaAisee! Hii hali kwa sasa katika jiji hili pedwa ni hatari sana.
Dar es Salaam kwa sasa kuna hali ya jua na joto kali sana, kuna joto ambalo ni zaidi ya joto lenyewe. Yaani bila kitambaa mkononi hutoboi salama unapo kwenda. Inabidi uwe na vitambaa viwili mikino yote miwili yaani unajifuta jasho huku na huku, maana ukifuta haichukui ata sekunde kumi inabidi ufute tena. Hatari sana kwa wale watembea kwa miguu.
Kuna muda nimetoka pale Duce kuelekea Uhasibu kupitia Kurasini umbali mfupi tu huo nimefika nimelowana mwili mzima utadhani nimemwagiwa maji. Shati limelowa kila mahala si mgongoni wala kifuani, ikanibidi nikae pembeni ili kurejesha hali niliyo kuwa nayo mwanzo.
Sio poa.
Anatakiwa atembee na nini?mwanaume unatembea na kitambaa
Unaishije dar huna gari?Aisee! Hii hali kwa sasa katika jiji hili pedwa ni hatari sana.
Dar es Salaam kwa sasa kuna hali ya jua na joto kali sana, kuna joto ambalo ni zaidi ya joto lenyewe. Yaani bila kitambaa mkononi hutoboi salama unapo kwenda. Inabidi uwe na vitambaa viwili mikino yote miwili yaani unajifuta jasho huku na huku, maana ukifuta haichukui ata sekunde kumi inabidi ufute tena. Hatari sana kwa wale watembea kwa miguu.
Kuna muda nimetoka pale Duce kuelekea Uhasibu kupitia Kurasini umbali mfupi tu huo nimefika nimelowana mwili mzima utadhani nimemwagiwa maji. Shati limelowa kila mahala si mgongoni wala kifuani, ikanibidi nikae pembeni ili kurejesha hali niliyo kuwa nayo mwanzo.
Sio poa.
tauloAnatakiwa atembee na nini?
ππππInabidi uwe na vitambaa viwili mikino yote miwili yaani unajifuta jasho huku na huku
Tembea na Chupayamaji πSasa sisi wenye vipara ni huruma ukikamuwa uso Kwa vidole kuanzia kichwani kuja usoni unamwaga Bomba la maji hatari,Hapo Sasa ndo unapitisha kitambaa kupiga polishing.Bila hivo vitambaa vote vitalowa uwe unavikamuwa.
MMEZIDI UTAPELIAisee! Hii hali kwa sasa katika jiji hili pedwa ni hatari sana.