Dar es Salaam bado inamuhitaji Paul Makonda sana

Mh. Paul Makonda bado tunakukubali kwa uongozi uliotukuka tutafurahi sana siku ukipewa nafasi tena kutuongoza watanzania.

Makonda wewe ni kiongozi kijana lakini ni shupavu.

Wewe ni kiongozi kijana lakini ni jasiri.

Wewe ni kiongozi kijana lakini una convincing power.

Hongera Mh. Makonda, karibu tena utuongoze watanzania.
Mbona unasema kwa uwingi..,.tuta. unaisemea na mizimu ya kwenu??
 
Mh. Paul Makonda bado tunakukubali kwa uongozi uliotukuka tutafurahi sana siku ukipewa nafasi tena kutuongoza watanzania.

Makonda wewe ni kiongozi kijana lakini ni shupavu.

Wewe ni kiongozi kijana lakini ni jasiri.

Wewe ni kiongozi kijana lakini una convincing power.

Hongera Mh. Makonda, karibu tena utuongoze watanzania.
Isemee nafsi yako, usijumuishe wengine kwenye mawazo yako, yao yapo tofauti na yako
 
Issue ya wajane na waliyotelekezwa,showroom zote kuhamishwa kigamboni iliishia wapi

Ova
 
Mkuu hebu jitizame kuanzia chini mpaka juu kisha jilinganishe na Makonda uone kama mnaendana.
20210530_120910.jpg

images (42).jpeg
 
Kuna kujipendekeza kwingine hata mpambe wa bi harusi hafanyi hivyo ukimwitaji kakae kwake
 
Kiukweli hili jiji bado linahitaji huduma ya aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa huu Mheshimiwa Paul Makonda "Bashite"

Kwa sasa jiji limepoa, kama vile halina mkuu wa mkoa

Sisi wananchi wa Dar tunakuomba Rais Magufuli uturudishie mtu huyu muhimu kwa maendeleo ya jiji

ilikuwa haiwezi pita mwezi bila kuanzisha shughuli yoyote ile yenye maslahi kwa wanadaslamu huku ikiwaumiza wapinzani
Mwisho niweke namba ili iwaje
Huyu ni mwamba kweli kweli
 
Back
Top Bottom