Dar es Salaam bado inamuhitaji Paul Makonda sana

Kwani ni lazima awe kiongozi ndio aishi?!
atafute kazi nyingne ya kufanya aache mambo ya kubebwa kama mademu wapewa ofa za bia!!!.
 
Kakutuma uje ulete ubashite wenu hapa. Huyo labda mpeleke kwenu akawaongoze.
 
Makonda, acha kujificha nyuma ya keyboard kuomba kazi! Ulibugi Sana yaani kwa kuigeuza ofisi ya umma kupigia madili yako ya ukibaka!
Mwache aliyepo anatosha na usimchonganishe na mteule wake!
Kwani Kuna kitu au mradi gani uliusimamia ukaisha na kuleta matunda?
Madaraja yote uliyojenga kwa mhemko yamekwenda na mafuriko kule kivule!
Kaa kwa kutulia umtafutie Keegan mdogo wake kwani kazi ilikushinda! Dar Ina amani zote na inapendeza bila uwepo wako.
 
Unaweza kuorodhesha madili hayo unayoyasema
 
Sasa hivi CCM inatolea macho Umeya tu .
Amshaamsha zilitokana na nia ovu ya kumaliza upinzania na sasa wamebaki wenyewe . Makonda hafai tena mana yeyote atakayemgusa kisiasa atakua ameigusa CCM na serikali yake pekee.
Bunge litamcharura vibaya sana na itakua ndio mwanzo wa kuivuruga CCM.

Adui yake mkubwa Aitwae Rashidi amepokelewa vizuri Sana Bungeni. Ile ni dalili ya kumfuta Bashite kwenye ulimwengu wa Siasa.
Arudi akahubiri Injili badala ya Rashidi.
Rashidi ameanguka dhambini tangu aliporikodi picha za ngono.
 
Ameifanyia NINI DAR ES SALAMA????.

NASIKITIKA KUONA IDADI YA WAJINGA IKIONGEZEKA KWA KASI KUBWA.

RIP. Mwalimu JK Nyerere.
 
Nchi imejaa watu wajinga na matakataka aisee
 
Na akirudi ataongoza zoezi la kupima tezi dume chumba kwa chumba,
wanaume wa dar mjiandae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…