balimar
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 7,562
- 13,275
For future and Office useMwisho niweke namba ili iwaje
Hili ni wazo zuri au hujiamini?
For future and Office useMwisho niweke namba ili iwaje
Kakutuma uje ulete ubashite wenu hapa. Huyo labda mpeleke kwenu akawaongoze.Kiukweli hili jiji bado linahitaji huduma ya aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa huu mheshimiwa Paul Makonda "Bashite"
kwa sasa jiji limepoa, kama vile halina mkuu wa mkoa
Sisi wananchi wa Dar tunakuomba Rais Magufuli uturudishie mtu huyu muhimu kwa maendeleo ya jiji
ilikuwa haiwezi pita mwezi bila kuanzisha shughuli yoyote ile yenye maslahi kwa wanadaslamu huku ikiwaumiza wapinzani
Makonda, acha kujificha nyuma ya keyboard kuomba kazi! Ulibugi Sana yaani kwa kuigeuza ofisi ya umma kupigia madili yako ya ukibaka!Kiukweli hili jiji bado linahitaji huduma ya aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa huu mheshimiwa Paul Makonda "Bashite"
Kwa sasa jiji limepoa, kama vile halina mkuu wa mkoa
Sisi wananchi wa Dar tunakuomba Rais Magufuli uturudishie mtu huyu muhimu kwa maendeleo ya jiji
ilikuwa haiwezi pita mwezi bila kuanzisha shughuli yoyote ile yenye maslahi kwa wanadaslamu huku ikiwaumiza wapinzani
Unaweza kuorodhesha madili hayo unayoyasemaMakonda, acha kujificha nyuma ya keyboard kuomba kazi! Ulibugi Sana yaani kwa kuigeuza ofisi ya umma kupigia madili yako ya ukibaka!
Mwache aliyepo anatosha na usimchonganishe na mteule wake!
Kwani Kuna kitu au mradi gani uliusimamia ukaisha na kuleta matunda?
Madaraja yote uliyojenga kwa mhemko yamekwenda na mafuriko kule kivule!
Kaa kwa kutulia umtafutie Keegan mdogo wake kwani kazi ilikushinda! Dar Ina amani zote na inapendeza bila uwepo wako.
Nchi imejaa watu wajinga na matakataka aiseeKiukweli hili jiji bado linahitaji huduma ya aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa huu mheshimiwa Paul Makonda "Bashite"
Kwa sasa jiji limepoa, kama vile halina mkuu wa mkoa
Sisi wananchi wa Dar tunakuomba Rais Magufuli uturudishie mtu huyu muhimu kwa maendeleo ya jiji
ilikuwa haiwezi pita mwezi bila kuanzisha shughuli yoyote ile yenye maslahi kwa wanadaslamu huku ikiwaumiza wapinzani
Kama anamtaka ampeleke Lindi au Mtwara.ilikuwa haiwezi pita mwezi bila kuanzisha shughuli yoyote ile yenye maslahi kwa wanadaslamu huku ikiwaumiza wapinzani
sio mpaka awe RC hapo Daslamu
aende kule Mtwara nao wanahitaji ubunifu wake
Anamwitaji yeye na mke wake mkuuUnasema sisi?? Wewe na nani? Moijutana wapi mkakubaliana? Acha ujinga
Kiukweli hili jiji bado linahitaji huduma ya aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa huu mheshimiwa Paul Makonda "Bashite"
Kwa sasa jiji limepoa, kama vile halina mkuu wa mkoa
Sisi wananchi wa Dar tunakuomba Rais Magufuli uturudishie mtu huyu muhimu kwa maendeleo ya jiji
ilikuwa haiwezi pita mwezi bila kuanzisha shughuli yoyote ile yenye maslahi kwa wanadaslamu huku ikiwaumiza wapinzani
Jiji limepoa mnoHoja za kijinga sana hizi.