Wazungumze haki ndio uislam unavyotakaUsiwapangie cha kusema, ulitaka wahamasishe vurugu km RC?
Huyu anambinulia makalio mwenyezi Mungu mara 5 kwa siku hawezi kuwa karibu na papaWa papa
Kwa kuwa naheshimu waislamu naishi nao kwa wema ninyamaze.kwanza asilimia kubwa ya waislamu hawatambui bakwataView attachment 3164608
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limewataka Watanzania wote kuungana na kushirikiana mara baada ya uchaguzi wa serikali kufanyika kwa amani.
Akizungumza kwa niaba ya Baraza hilo, Katibu Mkuu wa BAKWATA, Alhaji Nuhu Mruma, aliwasihi wananchi kuwapa ushirikiano viongozi waliochaguliwa kwa lengo la kuimarisha maendeleo ya nchi. Amesisitiza kuwa mshikamano wa kitaifa ni nguzo muhimu ya kuleta ustawi wa kijamii, kiuchumi, na kisiasa.
Aidha, Alhaji Mruma aliwakumbusha Watanzania kuheshimu misingi ya amani na upendo miongoni mwao ili kuepusha migawanyiko inayoweza kudhoofisha juhudi za kujenga taifa lenye mshikamano na maendeleo endelevu.
PIA SOMA
- LGE2024 - Dodoma: Katibu wa BAKWATA, Askofu wasema kuna watu hawaitakii mema Tanzania, wanasambaza habari potofu kuhusu uchaguzi
Bakwata ni vibaraka wa kudumu wa ccmView attachment 3164608

RC wakitoa tamko lazima milio ya vinyamkera itaanza kusikika..Hawa RC ndiyo waliotoa tamko enzi za Magu kuhusiana na issue ya kibiti wakati bakwata ikiwa imeufyata mkia. Kuna jamii za hovyo sana duniani.View attachment 3164608
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limewataka Watanzania wote kuungana na kushirikiana mara baada ya uchaguzi wa serikali kufanyika kwa amani.
Akizungumza kwa niaba ya Baraza hilo, Katibu Mkuu wa BAKWATA, Alhaji Nuhu Mruma, aliwasihi wananchi kuwapa ushirikiano viongozi waliochaguliwa kwa lengo la kuimarisha maendeleo ya nchi. Amesisitiza kuwa mshikamano wa kitaifa ni nguzo muhimu ya kuleta ustawi wa kijamii, kiuchumi, na kisiasa.
Aidha, Alhaji Mruma aliwakumbusha Watanzania kuheshimu misingi ya amani na upendo miongoni mwao ili kuepusha migawanyiko inayoweza kudhoofisha juhudi za kujenga taifa lenye mshikamano na maendeleo endelevu.
PIA SOMA
- LGE2024 - Dodoma: Katibu wa BAKWATA, Askofu wasema kuna watu hawaitakii mema Tanzania, wanasambaza habari potofu kuhusu uchaguzi
Wanasikitisha sana. Wao wanawaza matumbo yao tu..RC wakitoa tamko lazima milio ya vinyamkera itaanza kusikika..Hawa RC ndiyo waliotoa tamko enzi za Magu kuhusiana na issue ya kibiti wakati bakwata ikiwa imeufyata mkia. Kuna jamii za hovyo sana duniani.
Vurugu zinahamasishwa na RC au Tamisemi wanaposhurutisha ccm wabaki madarakani? Bil wapinzani kutumia silaha za moto kuzuia uhuni wa vyombo vya dola, wapinzani wataendelea kuumizwa sana.Usiwapangie cha kusema, ulitaka wahamasishe vurugu km RC?
hawa ndiyo viongozi wa dini sasa, kuhimiza umoja na mshikamano baina ya waTanzania, sio wale makhalakhancha wa akina ruwaichi na kitima, wachochea chuki na migawanyiko kwa waTanzania 🐒View attachment 3164608