Ambilikisye anna
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 561
- 499
Na ukiona hivyo ujue kuna jitu ĺimeenda kumchomea aiseehh
Ni kama yule aliyetengeneza gobole. Aisee nasikia alikamatwa ambapo angetumiwa kwa manufaa ya Taifa
Umefikiria hatari iliyokuwa Hapo na janga lililokuwa linakuja?kazi ipo sijui alikuwa anayauza wapi? watu wambea wamemsemea hivi hivi
Atafunguliwa kesi ya uhujumu uchumiJamaa yupo njema kweli..
Hii ni syndicate!!! Haiwezekani MTU mmoja kuweza kufanya kazi kama hiyo na kuikamilisha bila kuonekana!!! Hii kazi itakuwa imafanywa mchana kweupe na watumishi ambao mwisho Wa siku walilipwa na serikali maana walikuwa kazini!! Hii si kazi ya siku moja!! Huu ni mchezo Wa wakubwa!!! Mdogo huwezi kufanya kitu kama hicho!! Si ajabu walifanya kazi hiyo huku wakipewa ulinzi!!!Dah! Hata woga hana! atafia jela huyu.
Nimesomasoma mtandaoni nimeona kama SPM aka Single Point Mooring inahusu pipe za kutoa mafuta melini.Yanayosafirishwa kwa pipeline huwa ni ghafi.