Dar: Atoboa bomba la mafuta ya Dizeli la bandari(SPM) na kujiunganishia nyumbani kwake

-Wakati anajiunganishia walinzi walikua wapi?

-Kwa namna yoyote zoezi zima si la siku moja, watendaji Wa mtaa walikua wapi?

-Kuna kila dalili za jamaa alikua anakula na wakubwa Fulani..malengo yalikua ni nini?

-Soko lake haswa ni lipi?

-Kwanini TPA ivamie January hii? mzee alizingua kutoa mgao m?

-Kama Huyo mmoja wamembaini baada ya muda mrefu (obvious) Wa kuiba wese..kuna wangapi Wa sampuli yake?

-Kwanini mkuu Wa ulinzi asiwajibishwe? why disciplinary action shouldn't be taken against him/her ?

-Wwnafanya patrol kwa kiasi gani kuhakikisha rasilimali hazihujumiwi?

Mkuu Wa idara ya ulinzi /Head of security unit hapa lazima awajibishwe! kuna dalili za kuhusika...huyu mzee alipata wapi guts za kufanya hayo??

Bomba tu LA dawasco ukitoboa mtaa mzima wanajua Fulani anaunganisha maji..sembuse mafuta? waache Sanaa makimba yao..

Mzee nae alichemka..angesoma alama mapema..angeingia Ccm agombee hata udiwani...angekingiwa kifua kama Salum Londa na ufisadi Wa viwanja Tanganyika Packers (Feza)!
Wakandarasi walikuwa wanatengeneza barabara, sasa katika kuchimba na kijiko ndipo walipotoboa Bomba za Mzee na zikaanza kumwaga dizeli ndipo walipofatilia wakaona Bomba la 1.5" likielekea nyumbani kwa Mzee likitokea Bomba Kubwa.
 
Back
Top Bottom