Dar: Atoboa bomba la mafuta ya Dizeli la bandari(SPM) na kujiunganishia nyumbani kwake

Hapo ndo huwa nashindwa kuelewa utendaji kazi wa TPA, kwani hizo flow Meters kazi yake ni nn?
Na inamaana kweli na Technology hii ilivyo wanashindwa kufunga Vifaa vinavyodetect in case of any leakage?
Hapa kuna Ombwe la Uongozi ndo mana haishangazi Mkuu kusema anafrustraion zake mana mengine wanamsababishia bureee tu!!!
 
Picha mbona hazieleweki, hayo mabomba mkubwa ni mapya na hayaonyeshi yalipotobolewa. Pia happy kwenye nyumba bomba kina takes ndani. Huko ndani ndio kuna hayo mabomba makubwa??
Ndo hueleweki unauliza kitu gani cha msingi, kwani mabomba yakiwa mapya hayaunganishwi? Na wapi ndani wamesema kuna mabomba makubwa?
 
Ndio napata mashaka na habari hii maana mafuta yaliyo kwenye Bomba ni ghafi anapata wapi dawa ya kuyasafisha ... Pia kutoka kwenye Bomba la mafuta kuna Presha kubwa mno kwa hicho kitengi ni uwongo kabisaaa tena wa mchana kweupe pia huwa yanaharufu mbaya sana kwa kijumba hicho Doh. Na kama ni kweli basi huyo jamaa wamwajiri TPA ili awezekutoa elimu ya kuyapooza na kuyasafisha
Mkuu siku hizi hakuna mafuta ghafi Tanzania hatuna kiwanda cha refinery TIPPER ilikufa.Mafuta ghafi pekee ni yale ya kwenda Zambia.Kuhusu pressure uko sahihi sana ila huyu jamaa anaweza kuwa aliweza safety release valve kabla kuingia kwake ila hii nini huduma maana angekuwa anapunguza pressure bomba kuu.
 
Nchi gani hiyo? Unaweza tupa mfano wa muhalifu aliyepewa kitengo Cha juu kwenye hizo nchi au ni zile zile story za kudanganyana vijiweni

Kuna kijana mwenye umri mdogo tu alikua aki HACK data na siri za PENTAGON kwa njia ya computer
Iliwagharimu saaana hio CIA na iliwachukua muda kujua nani anaevujisha siri za WHITE HOUSE
siku wanamkamata hawakuamini kumkuta huyo kijana na umri pia ni mmarekani na famili yake hali yao ilikua taaban
Walimchkua saaaana maelezo na kugundua huyu kijana hakua na nia mbaya usipokua TALENT alionayo tu na kucheza saaana na computer ndio iliofanya HACKING hizo
Aliwaonesha njia zoote alizotumia kutengua PRIVACY za pentagon
George bush wakti huo ndio alikua president aliamuru kuchkuliwa huyo kijana aendelezwe na masomo na kufanya kazi hapohapo pentagon
Mkuu hadi leo wazee wake wanakula bata tu
From Zero To Hero
 
miaka ya nyuma bomba la TAZAMA pipeline lililokua linatoka dar mpaka zambia lilikua linasafirisha mafuta watu walikua wanaiba sana

baadae wakaamua kusafirisha mafuta ghafi ambayo hayajasafishwa yanaenda kusafishiwa zambia hapo uwizi ukakoma
 
Ndo hueleweki unauliza kitu gani cha msingi, kwani mabomba yakiwa mapya hayaunganishwi? Na wapi ndani wamesema kuna mabomba makubwa?
Kwa hiyo ameunga kwenye mabomba yanayolazwa upya a yaliyokuwa yanatumika? , nyumbu wewe!!
 
0c5109862bb48efa03c28142e185d112.jpg

hiyo picha ya kwanza ni bomba lilikuwa linavuja NA HAINA UHUSIANO na picha ya pili huyu kakamatwa na watu wa mazingira anajaza kinyesi kwenye pipa anaenda kumwaga
 
Picha mbona hazieleweki, hayo mabomba mkubwa ni mapya na hayaonyeshi yalipotobolewa. Pia happy kwenye nyumba bomba kina takes ndani. Huko ndani ndio kuna hayo mabomba makubwa??
Kwa kweli hata wewe ulichoandika hakieleweki
 
0c5109862bb48efa03c28142e185d112.jpg
hiyo picha ya kwanza ni bomba lilikuwa linavuja NA HAINA UHUSIANO na picha ya pili huyu kakamatwa na watu wa mazingira anajaza kinyesi kwenye pipa anaenda kumwaga
 
Ndio napata mashaka na habari hii maana mafuta yaliyo kwenye Bomba ni ghafi anapata wapi dawa ya kuyasafisha ... Pia kutoka kwenye Bomba la mafuta kuna Presha kubwa mno kwa hicho kitengi ni uwongo kabisaaa tena wa mchana kweupe pia huwa yanaharufu mbaya sana kwa kijumba hicho Doh. Na kama ni kweli basi huyo jamaa wamwajiri TPA ili awezekutoa elimu ya kuyapooza na kuyasafisha
siyo ghafi. ni diesel.

hii project ya huyu jamaa ni extremely dangerous. some day angeweza kusababisha explosion kubwa ambayo ingetikisa Kigamboni nzima hadi Magogoni.
pia kungetokea uchafuzi mkubwa wa maji ya bahari ambao haukupata kutokea.
 
Ndio napata mashaka na habari hii maana mafuta yaliyo kwenye Bomba ni ghafi anapata wapi dawa ya kuyasafisha ... Pia kutoka kwenye Bomba la mafuta kuna Presha kubwa mno kwa hicho kitengi ni uwongo kabisaaa tena wa mchana kweupe pia huwa yanaharufu mbaya sana kwa kijumba hicho Doh. Na kama ni kweli basi huyo jamaa wamwajiri TPA ili awezekutoa elimu ya kuyapooza na kuyasafisha
Ghafi?....tunaagiza nje mafuta ghafi?
 
Kuna kijana mwenye umri mdogo tu alikua aki HACK data na siri za PENTAGON kwa njia ya computer
Iliwagharimu saaana hio CIA na iliwachukua muda kujua nani anaevujisha siri za WHITE HOUSE
siku wanamkamata hawakuamini kumkuta huyo kijana na umri pia ni mmarekani na famili yake hali yao ilikua taaban
Walimchkua saaaana maelezo na kugundua huyu kijana hakua na nia mbaya usipokua TALENT alionayo tu na kucheza saaana na computer ndio iliofanya HACKING hizo
Aliwaonesha njia zoote alizotumia kutengua PRIVACY za pentagon
George bush wakti huo ndio alikua president aliamuru kuchkuliwa huyo kijana aendelezwe na masomo na kufanya kazi hapohapo pentagon
Mkuu hadi leo wazee wake wanakula bata tu
From Zero To Hero
Typical story za vijiweni. Story za hear say, story zisizo na chembe ya ukweli wala uthibitisho mahala popote pale. Huyo dogo anaitwa nani? Alishikwa lini? Alihack nini? Story za vijiweni ubaya ndo huu huwa zinakuacha mtu hanging, ni story za kudanganyana kupoteza muda tu.

Kama ingekua hivyo jamaa aliyeanzisha silk road, Ross William Ulbricht, angekua uraiani Sasa badala ya kupewa lifetime sentence behind bars.
 
Huu ndio wizi wa kiume. Wizi usio disturb vipato vya masikini ambao yule mwenye frustrations zake anawaita "wanyonge" na anasema ana watu wake wa kutupia macho ya ushambenga kila mahali. Ila watu wake TPA hawapo. Imethibitishwa na matendo yanayoendelea kujitokeza. Haya baba fasta fanya uweke watu wako wakuletee info kwenye "flash" TPA bado goli liko wazi sana

Hongera sana ndugu mwizi wa mafuta aina ya diesel.
 
TOA NA POLICE WANATAFUTA KIKI.... KAMA PICHA NI ZA KWELI BOMBA LA MAFUTA HALIWEZI KWANZA KUPITA JIRANI NA NYUMBA KIASI KILE NA PIA PRESSURE YA MAFUTA NA HILO PIPA LILILOCHIMBIWA CHINI NI UONGO MTUPU....
 
Back
Top Bottom