Ishi Mwanza ng'wanawane kama umezichoka kucha na macho yako kaishi Dar. Mwanza maisha cheap hata kama umeishiwa utasikia msukuma anakwambia,toleho bhabha bhonekaga shilewa,sembe mlima jaribu kwa Wazaramo na wachaga!Ndugu wana JF, naomba kuuliza kati ya Dar, Arusha na Mwanza jiji lipi zuri kuishi kwa mtumishi wa serikali mwenye kipato kidogo. Naomba nijuzwe kuhusu faida na hasara za kuishi kati ya hayo majiji matatu. Karibuni jamvini wana JF.
ivi arusha ni jiji?