Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,890
Wataroganaaaa na yule mwenye mji Jah People....mchawiiiiiWakuu
Daniel Chongolo ameamua kujitosa katika mbio za kugombea ubunge zinazoendelea kupitia tiketi ya CCM.
===
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika
"Namshukuru Mungu, nimefanikiwa kuchukua na kurejesha fomu salama za kuomba ridhaa ya Ubunge katika jimbo la Makambako mkoani Njombe. Lengo ni utumishi, na kwa hakika nipo tayari. ##NaendeleaKujifunza"
View attachment 3386735
Yule anarudi kwao MaketeWataroganaaaa na yule mwenye mji Jah People....mchawiiiii
Jah peopleMbunge wa makambako Kwa sasa ni nani !??
HatoboiJah people
Kwa jah people ngumu kutoboa ila wanamakambako watakuwa wajinga kumwacha huyu mwambaWakuu
Daniel Chongolo ameamua kujitosa katika mbio za kugombea ubunge zinazoendelea kupitia tiketi ya CCM.
===
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika
"Namshukuru Mungu, nimefanikiwa kuchukua na kurejesha fomu salama za kuomba ridhaa ya Ubunge katika jimbo la Makambako mkoani Njombe. Lengo ni utumishi, na kwa hakika nipo tayari. ##NaendeleaKujifunza"
View attachment 3386735
Ooohh sawa tuoneeYule anarudi kwao Makete
Anatoboa chongolo makambako kaishika vizur kila Kona NI yeyeKwa jah people ngumu kutoboa ila wanamakambako watakuwa wajinga kumwacha huyu mwamba
Hawezi kosa uwazari pia ana influence sana ndani ya ccm kwaiyo kumuacha chongolo kwa ajili ya japipo ni ujingaAnatoboa chongolo makambako kaishika vizur kila Kona NI yeye
NI mtu mwenye maono makubwa na makambako na makambako ilipofikia inahitaji mtu Kama huyoHawezi kosa uwazari pia ana influence sana ndani ya ccm kwaiyo kumuacha chongolo kwa ajili ya japipo ni ujinga
Deo Sanga mzee wa Nitawajengea statonary apumzike sasaNa
NI mtu mwenye maono makubwa na makambako na makambako ilipofikia inahitaji mtu Kama huyo
Aendelee na uenyekiti wa CCM mkoa unamtosha kwa Sasa kwa Kasi ya ukuaji wa mji wa makambako unahitaji chongolo mwenye maono ya VIWANDA na biashara atengeneze mazingira na kushawishi wawekezaji ili makambako iwe centre kubwa ya biashara kwa mikoa ya IRINGA NJOMBE na RUVUMA na WILAYA zingine za pembezoni Kama MBARALI , kilombero ,mlimba nk na kufikia huko Kuna hitaji kongani za VIWANDA za kutosha ,bandari kavu ,uwanja wa ndege , vyuo vikuu na vyakati nkDeo Sanga mzee wa Nitawajengea statonary apumzike sasa
Ma bi na mabi na mabiDeo Sanga mzee wa Nitawajengea statonary apumzike sasa