appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,941
- 3,262
- Thread starter
- #21
Alafu huyu member anaeitwa Appoh naanza kumfikiria tofauti kidogo, mara anauza gari, mara anatafutia watu kazi, mara anapigia promo wanawake wa kujiuza.
Nae eti GT!!!??
am multi purpose man one head mult thinking usinifikirie mimi fikiria maisha yako na jinsi gani utaish maisha bora