Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,075
- 3,413
Msemaji wa serikali Wakudadavuwa yuko wapi aje akanushe na hii barua ya TPDC na pia akane TPDC (serikali) hainunuwi gesi inayoimilikiTanzania ya Viwanda uchwara. Ni mwendo wa kukanusha tu mbele kwa mbele.