Dangote yaanza kusambaza cement Tanzania

Namahochi

Senior Member
Jan 1, 2016
138
98
Kile kiwanda kikubwa cha Africa mashariki na Africa kwa ujumla kwa mara ya kwanza kimeanza kuzalisha kusambaza cement jana tar 21/02/ 2016.

Kiwanda hicho ambacho ni tegemeo jipya kwa waakazi wa mikoa kusini Mtwara na Lindi kiliahidi ajira nyingi ya wakaanzi wa mikoa hiyo na watanzania kwa ujumla
Cement tayari iko maduka kwa bei nafuu ya sh 13,500 tofauti na cement ya viwanda vingine.

Tunawakaribisha wateja wa cement hiyo na wenye magari makubwa kufungua office mkoani Mtwara ili kuongeza ajira za madereva hapa mkoani.
 
Mi nilivuta muda nikajua gharama itakuwa chini ya hapo mkuu.. Dah ngoja tu nijivute taratiibu nifanye michakato iendelee
 
Kile kiwanda kikubwa cha Africa mashariki na Africa kwa ujumla kwa mara ya kwanza kimeanza kuzalisha kusambaza cement jana tar 21/02/ 2016
Kiwanda hicho ambacho ni tegemeo jipya kwa waakazi wa mikoa kusini mtwara na lindi kiliahidi ajira nyingi ya wakaanzi wa mikoa hiyo na watanzania kwa ujumla
Cement tayari iko maduka kwa bei nafuu ya sh 13,500 tofauti ya 2500 kutoka kwa cement ya viwanda vingine
Tunawakaribisha wateja wa cement hiyo na wenye magari makubwa kufungua office mkoani mtwara ili kuongeza ajira za madereva hapa mkoani
Inaonekana ww mtoa mada hujui unachoongea na wala hujawahi kujenga. Inakuaje hujui bei ya mfuko wa cement kwa sasa?? Hyo tsh13,500/- mbna ni bei ya juu sana kulinganisha na cement ya viwanda vingine? Hata kama unafanya marketing lkn sio vizuri kusema uongo, tumia mbinu nyingine ya kutangaza bidhaa zenu.
 
Mie Nilitegemea Ifike Arusha kwa Shilingi Elfu Nane (8000) Tuu!
Ndugu yangu isue ni ivi kiwanda kinauza cement kwa sh 8000 + 3500 ya VAT =11,500
Kwa hiyo mpaka ikufikie wewe ni 13,500
Kwa hiyo tatizo ni hapa kazi tu
 
Back
Top Bottom