Vladivostok
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 288
- 1,326
Amen hahahahasafi sana, habari njema kabisa
Nani kama mama ?
Hakunasafi sana, habari njema kabisa
Nani kama mama ?
Huwezi kuwaona hapa.Wale vyura wa mama anaupiga mwingi hii bei haiwahusu wao
Mfano wewe ungefanyaje ili dollar isipande?Hii ndo faida ya kuwa na viongozi wajinga na wapumbavu katika taifa,mtu unakata Elimu ya kuunga unga alafu anakuwa CEO wa kampuni
Wacha waendeleze libeneke. Lakini tutakutana hukuhuku uswahilini.Wale vyura wa mama anaupiga mwingi hii bei haiwahusu wao
Bila kuwasahau machawaWale vyura wa mama anaupiga mwingi hii bei haiwahusu wao
Kwani wewe ndio unaiona Leo? Toka mwezi wa 7 buku iliongezeka na maisha yanaendeleaKampuni ya Dangote imetangaza kupanda kwa bei ya cement kwa shillingi 885 kwa wauzaji wa jumla.Na 2000 kwa wauzaji wa rejareja Na sababu ni kuadimika kwa dola ya marekani.Kwa mwaka huu cement ilipanda julai mosi kwa ongezeko la shilingi 2000 baada ya serikali kuongeza kodi katika bajeti ya 2023/2024.Nb tarehe 1 may bei ya cement ilikuwa 14000 sasa itapatikana kwa 18000.
KWA KUWA NCHI IMEMPATA MWELEZAJI DP WORLD UCHUMI UTAKUWA MZURI KWA KILA MTANZANIA HIVYO BEI YA CEMENT HATA IKIWA TS.20000/= KWA MFUKO NI SAHIHIKampuni ya Dangote imetangaza kupanda kwa bei ya cement kwa shillingi 885 kwa wauzaji wa jumla.Na 2000 kwa wauzaji wa rejareja Na sababu ni kuadimika kwa dola ya marekani.Kwa mwaka huu cement ilipanda julai mosi kwa ongezeko la shilingi 2000 baada ya serikali kuongeza kodi katika bajeti ya 2023/2024.Nb tarehe 1 may bei ya cement ilikuwa 14000 sasa itapatikana kwa 18000.
Ningeacha kufanya kile kilichosababisha ipande.Mfano wewe ungefanyaje ili dollar isipande?