42.5N ni cement ambayo inayotimika kujenga majengo makubwa, madaraja. Kwa kifupi ni imara na inatoa majibu ya uimara mda mfupi baada ya kuitumia. Hii nyingine ni tunatumia kwa ujenzi wa kawaida wa Nyumba. Mfano kama mfuko 1 wa 32.5R unavyatua tofali 30 ukitumia 42.5N unaweza kutoa 38 au 40 na ubora wake ukawa sawa au hata zaidNaomba kujua tofauti ya grade 32.5 na 42.5
Kwa mahitaji ya dangote cement kwa bei nzuri karibu ,unaweza kununua kwetu Na kuuza kwako ukapata faida , Na kwa wale wanaweza kuwekeza kwetu tunawakaribisha
Ndugu zangu labda mfafanue kwa kina kabla sijalipiga picha gari ambalo linasambaza cement ya dangote huku Kahama maeneo ya Kakola na Bugarama. Bei wanayouza rejareja ni 18,500/= hadi 19,000/= jumla wanauza elfu 17,000/= had I7,500/=. Hili nimeshuhudia kwa macho yangu rafiki yangu akinunua siku mbili tu zilizopita.12500/= REJA REJA NA BEI YA JUMLA KIWANDANI 8500/=