12500/= REJA REJA NA BEI YA JUMLA KIWANDANI 8500/=
Swali zuriJumla inaanzia mifuko mingapi?
12500/= REJA REJA NA BEI YA JUMLA KIWANDANI 8500/=
daah kujieleza kazi...eleza unapatikana wapi....na bei ya jumla na rejareja mkuuuKwa mahitaji ya dangote cement kwa bei nzuri karibu ,unaweza kununua kwetu Na kuuza kwako ukapata faida , Na kwa wale wanaweza kuwekeza kwetu tunawakaribisha
Bei bado ni kubwa hakuna unafuu mkubwa tulioutegemea kutoka kwa dangote.Wadau : dangote cement grade 32.5 jumla ni 11300, kuanzia mifuko 300,kwa wale wanaotaka kwenda kuuza, rejareja ni 12300, na grade 42.5 ni 11800 jumla na 12500 rejareja , kwa wale ambao watachukua gari zima la tani 30 ataletewa hadi ofisini kwake , tupo : MACHINGA COMPLEX 3FLOOR NA GODWN LIPO CHANIKA , nipigie namba 0762576878, kwa wale wenye biashara ya tofali maeneo ya karibu na chanika tuwasiliane upate bei nzuri ,
Tulioko mikoani tunaipataje? nataka niwe wakala wenu12500/= REJA REJA NA BEI YA JUMLA KIWANDANI 8500/=