Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,378
Poleni wote mliopatwa na hilo gonjwa. Lakini sidhani kama hapa kutakuwa na tabibu. Hata MziziMkavu pamoja na tiba zake za mananasi na tangawizi sijui kama ataweza. Ngoja aje aseme yeye mwenyewe aseme.
hata mimi mkuu,facebook tupa kuleeeeemh, me jf addicted... yan nikikosa kubrowse nahisi nimemiss kitu flan kuja kugundua kumbe jf... lmao!
mh, me jf addicted... yan nikikosa kubrowse nahisi nimemiss kitu flan kuja kugundua kumbe jf... lmao!
King'asti awali ya yote nakubali mimi maamuma. Lakini hapo kama ukinisoma kwa makini nilikuwa namshtua mwanzisha mada ameliweka bandiko lake mtaa usio sahihi (JF Doctor). Nashukuru mods wameliona hilo maana uzi umehamishiwa mtaa sahihi. Kuhusu gonjwa, me langu ni JF. Kwangu naona ni gonjwa sugu. BTW sie tunaotumia simu za bei rahisi kuchangia mada tuna shida. Maana kuandika hadi ueleweke, yataka moyo. Nakushukuru. Kwangu mimi, anayenikosoa ni RAFIKI. Pamoja daima!Kweli wewe maamuma! Lol
Gonjwa la jf je? Isipopatikana jf hewani namtumia msg invisible kule fb, namuuliza vipi mbona nyumbani kumebebwa na mafuriko?