Halafu ukijua na kuicheza Lambada tena kwa madaha ni raha kubwa sana. Hadi hii leo zikipigwa nyimbo kama hizi bado zinawainua watu wengi kwenye viti vyao. Naangalia final ya Dancing with the Stars ABC sasa hivi kuna huyu binti Mya aliicheza vizuri sana lambada, I hope ndiye atakayeukwaa ubingwa.