fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,065
Wakati CCM na serikali yake, Bunge lake wanafanya danadana kuhusu wizi wa mali za umma, ni wazi makosa kama hayo yanaiua CCM yenyewe. Naskuru kuwa mwenyekiti wa CCM ndo rais JMT, hivyo iwapo serikali inaona faida kuua chama, ni sawa na kukata mti ulokalia, hongera profesa mpyaaaaa kabisa TZ.
Enzi za utawala wa haki na sheria enzi za kukemea rushwa na wizi wa mali ya umma, kwa kashfa ya escrow na epa, rais angewasimamisha kazi au kuwafukuza kabisa watumishi hao, bila kumuacha Saada na Kigoda eti tu vile hawakutajwa ili hali BOT na Brela zinahusika pia.
Kitendo cha rais kuinuka akiwa amelazwa na kuomba ripoti hiyo tu, na mapendekezo yake na kisha kuagiza maara moja kufukuzwa kazi kwa wahusika kwa kiasi fulani hata kama humpendi sana JK ungemuongezea marks ktk urais wake. Haikuwa tija kuelezea ugonjwa ambayo kila siku tunaambiwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari, kwa wananchi tena kwenye TV na redio, ya nini?? kwani tulitaka kujua anaumwa nini hasa?? je kama leo kukiwa na rumas za kuwa ni HIV atakuja kueleza jinsi alivyogundulika na matibabu yanavyoendelea??? inaweza kuwa ya kusisimua lakni haina tija kwa taifa. Je hakuona kuwa ni vema muda ule akautumia kuweka sawa madai ya umma, PAC, AG, PCCB na BUNGE???
Ni hizi dana dana na kigugumizi cha rais, CCM na serikali inapofika maswala ya kitaifa ndo zimewapa CDM, CUF na NCCR nguvu kila mahali. Uzembe kwenye mali ya boss lazima ama ukufukuzishe kazi au kukushusha cheo. Kwa taifa hali ni hiyo hiyo, CCM ama wataiona ikulu kwa luninga au watasikia chama kikuu cha upinzani bungeni ni CCM.
Danadana inafika suala la umma ni sumu ya siasa. hata kama sio haki sana kuwafukuzwa kwani ni wao pekee watz wenye uwezo kiasi kwamba waendelee na nafasi za uongoz wa umma hata kama wanatuhumiwa???
UKAWA INAIMARIKA Kwa dana dana golini, iwapo ni lazima ushinde basi ni lazima uachie mpira kuelekea wavuni.
jicho lako jicho letu.
Nawasilisha