Danadana za rais heri kwa UKAWA

fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,448
2,000
Wakati CCM na serikali yake, Bunge lake wanafanya danadana kuhusu wizi wa mali za umma, ni wazi makosa kama hayo yanaiua CCM yenyewe. Naskuru kuwa mwenyekiti wa CCM ndo rais JMT, hivyo iwapo serikali inaona faida kuua chama, ni sawa na kukata mti ulokalia, hongera profesa mpyaaaaa kabisa TZ.

Enzi za utawala wa haki na sheria enzi za kukemea rushwa na wizi wa mali ya umma, kwa kashfa ya escrow na epa, rais angewasimamisha kazi au kuwafukuza kabisa watumishi hao, bila kumuacha Saada na Kigoda eti tu vile hawakutajwa ili hali BOT na Brela zinahusika pia.

Kitendo cha rais kuinuka akiwa amelazwa na kuomba ripoti hiyo tu, na mapendekezo yake na kisha kuagiza maara moja kufukuzwa kazi kwa wahusika kwa kiasi fulani hata kama humpendi sana JK ungemuongezea marks ktk urais wake. Haikuwa tija kuelezea ugonjwa ambayo kila siku tunaambiwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari, kwa wananchi tena kwenye TV na redio, ya nini?? kwani tulitaka kujua anaumwa nini hasa?? je kama leo kukiwa na rumas za kuwa ni HIV atakuja kueleza jinsi alivyogundulika na matibabu yanavyoendelea??? inaweza kuwa ya kusisimua lakni haina tija kwa taifa. Je hakuona kuwa ni vema muda ule akautumia kuweka sawa madai ya umma, PAC, AG, PCCB na BUNGE???

Ni hizi dana dana na kigugumizi cha rais, CCM na serikali inapofika maswala ya kitaifa ndo zimewapa CDM, CUF na NCCR nguvu kila mahali. Uzembe kwenye mali ya boss lazima ama ukufukuzishe kazi au kukushusha cheo. Kwa taifa hali ni hiyo hiyo, CCM ama wataiona ikulu kwa luninga au watasikia chama kikuu cha upinzani bungeni ni CCM.

Danadana inafika suala la umma ni sumu ya siasa. hata kama sio haki sana kuwafukuzwa kwani ni wao pekee watz wenye uwezo kiasi kwamba waendelee na nafasi za uongoz wa umma hata kama wanatuhumiwa???

UKAWA INAIMARIKA Kwa dana dana golini, iwapo ni lazima ushinde basi ni lazima uachie mpira kuelekea wavuni.
jicho lako jicho letu.

Nawasilisha
 
Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
4,701
2,000
imecommit suicide hao wananchi hutaweza kuwarudisha ccm mwaka 2015 wana chuki iliyoshiba
 
Kiwi

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
1,053
2,000
Acha waendelee kuvuta shuka mkuu, usingizi mtamu wala usiwashitue! Wanasema 'Alalaye usimwamshe,, ukimwamsha utalala wewe'. Mimi binafsi napata furaha sana ninapoona JK na timu yake wanakejeli na kudharau mapendekezo ya PAC. Hili la ESCROW na Katiba ya Sitta ndio kaburi la ccm. Waache waendelee kulala!
 
laiza

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,065
1,195
fikirikwanza ungefikiri kwanza usingesema haya unayosema..Mpaka leo hii CCM imeshazoa mitaa kibao na vitongoji vyake na kwa muonekano wa kampeni CCM itaibuka na ushindi mnono na hii ndio dira ya Ucaguzi 2015. Pamoja na uchaguzi huu wa 14 disemba pia tarehe 30 april utaona tena kishindo cha CCM.. UKAWA watabaki na ndoto ya ndaria tu
Wakati CCM na serikali yake, Bunge lake wanafanya danadana kuhusu wizi wa mali za umma, ni wazi makosa kama hayo yanaiua CCM yenyewe. Naskuru kuwa mwenyekiti wa CCM ndo rais JMT, hivyo iwapo serikali inaona faida kuua chama, ni sawa na kukata mti ulokalia, hongera profesa mpyaaaaa kabisa TZ.

Enzi za utawala wa haki na sheria enzi za kukemea rushwa na wizi wa mali ya umma, kwa kashfa ya escrow na epa, rais angewasimamisha kazi au kuwafukuza kabisa watumishi hao, bila kumuacha Saada na Kigoda eti tu vile hawakutajwa ili hali BOT na Brela zinahusika pia.

Kitendo cha rais kuinuka akiwa amelazwa na kuomba ripoti hiyo tu, na mapendekezo yake na kisha kuagiza maara moja kufukuzwa kazi kwa wahusika kwa kiasi fulani hata kama humpendi sana JK ungemuongezea marks ktk urais wake. Haikuwa tija kuelezea ugonjwa ambayo kila siku tunaambiwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari, kwa wananchi tena kwenye TV na redio, ya nini?? kwani tulitaka kujua anaumwa nini hasa?? je kama leo kukiwa na rumas za kuwa ni HIV atakuja kueleza jinsi alivyogundulika na matibabu yanavyoendelea??? inaweza kuwa ya kusisimua lakni haina tija kwa taifa. Je hakuona kuwa ni vema muda ule akautumia kuweka sawa madai ya umma, PAC, AG, PCCB na BUNGE???

Ni hizi dana dana na kigugumizi cha rais, CCM na serikali inapofika maswala ya kitaifa ndo zimewapa CDM, CUF na NCCR nguvu kila mahali. Uzembe kwenye mali ya boss lazima ama ukufukuzishe kazi au kukushusha cheo. Kwa taifa hali ni hiyo hiyo, CCM ama wataiona ikulu kwa luninga au watasikia chama kikuu cha upinzani bungeni ni CCM.

Danadana inafika suala la umma ni sumu ya siasa. hata kama sio haki sana kuwafukuzwa kwani ni wao pekee watz wenye uwezo kiasi kwamba waendelee na nafasi za uongoz wa umma hata kama wanatuhumiwa???

UKAWA INAIMARIKA Kwa dana dana golini, iwapo ni lazima ushinde basi ni lazima uachie mpira kuelekea wavuni.
jicho lako jicho letu.

Nawasilisha
 
minuz

JF-Expert Member
May 8, 2014
624
225

tupo ofisini hapa kuna bwana mmoja katuchanganyia habari hapa, eti anasema kipimo cha tezi dume the best, ni kwamba lazima docta akupige finga ya makalio, ili aangalie ndani, eti huko ndani kuna kigolori anakicheki kama kipo normal au kimevimba, eti madocta anayosema huyu bwana ni kweli au anatuvuruga tu.
 
Muulize dokta maryland sio hapa JF, ukishajua unataka kufanya utafiti gani kwa faida ya nani? angekuwa baba yako ungelizia hapa JF au?
 
minuz

JF-Expert Member
May 8, 2014
624
225
Muulize dokta maryland sio hapa JF, ukishajua unataka kufanya utafiti gani kwa faida ya nani? angekuwa baba yako ungelizia hapa JF au?
Mambo ya maryland yametoka wapi, mi nimeuliza madocta wa tz na unajuaje kama mimi nina tezi dume, nataka nipate hints kabla sijafanya hiyo operation hayo ya maryland misimo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom