Hiyo ndo Tanzania ndiyo maana tunahitaji mabadilikoHABARI ZA MAGAZETI ZINASEMA Mtu Mmoja kwa jina La Mushi alifanya funjo katika kampeni za uchaguzi jimbo la Kawe kwenye mkutano wa CCM, (obvious hakuwa mwana CCM) mtu huyo ali pigwa na wafuasi wa CCM na kuwekwa ndani na polisi, huko Mauti yalimkuta akiwa sero, AJABU ni kuwa hadi leo hakuna mtu aliekamatwa,kumbuka Maswa hadi leo kuna watu zaidi 10 wanatuhumiwa kwa mauaji ya dereva wa CCM, Hata Shibuda ambaye hakuwepo kwenye vurugu hizo alishikiliwa na polisi kwa muda mrefu, inakuwaje Leo mgombea wa CCM asiwekwe ndani akisubiri uchunguzi wa polisi ikizingatiwa kuwa yeye alikuwa akihutubia hapo. POlisi wanasema Mushi aliwapiga watuhumiwa wengiwe huko sero na alijibamiza kichwa kwenye ukuta, hatujamsikia Manumba wala Kova kwenda au kuzungumzia hili, UTENDAJI WA POLISI MBONA HAUKO CONSTISTANCE
HABARI ZA MAGAZETI ZINASEMA Mtu Mmoja kwa jina La Mushi alifanya funjo katika kampeni za uchaguzi jimbo la Kawe kwenye mkutano wa CCM, (obvious hakuwa mwana CCM) mtu huyo ali pigwa na wafuasi wa CCM na kuwekwa ndani na polisi, huko Mauti yalimkuta akiwa sero, AJABU ni kuwa hadi leo hakuna mtu aliekamatwa,kumbuka Maswa hadi leo kuna watu zaidi 10 wanatuhumiwa kwa mauaji ya dereva wa CCM, Hata Shibuda ambaye hakuwepo kwenye vurugu hizo alishikiliwa na polisi kwa muda mrefu, inakuwaje Leo mgombea wa CCM asiwekwe ndani akisubiri uchunguzi wa polisi ikizingatiwa kuwa yeye alikuwa akihutubia hapo. POlisi wanasema Mushi aliwapiga watuhumiwa wengiwe huko sero na alijibamiza kichwa kwenye ukuta, hatujamsikia Manumba wala Kova kwenda au kuzungumzia hili, UTENDAJI WA POLISI MBONA HAUKO CONSTISTANCE
Mkuu hapo kwenye red sijaelewa. Ila unachosema ni kweli kabisa, huyu kwa kuwa amekufa kwenye mkutano wa CCM ametajwa kuwa alienda kufanya fujo wakati yule wa Maswa naye alienda kupiga muziki kwenye mkutano wa chama pinzani (kuwachokoza) na wala nabii Makamba hajapeleka upuuzi wake pale.
HABARI ZA MAGAZETI ZINASEMA Mtu Mmoja kwa jina La Mushi alifanya funjo katika kampeni za uchaguzi jimbo la Kawe kwenye mkutano wa CCM, (obvious hakuwa mwana CCM) mtu huyo ali pigwa na wafuasi wa CCM na kuwekwa ndani na polisi, huko Mauti yalimkuta akiwa sero, AJABU ni kuwa hadi leo hakuna mtu aliekamatwa,kumbuka Maswa hadi leo kuna watu zaidi 10 wanatuhumiwa kwa mauaji ya dereva wa CCM, Hata Shibuda ambaye hakuwepo kwenye vurugu hizo alishikiliwa na polisi kwa muda mrefu, inakuwaje Leo mgombea wa CCM asiwekwe ndani akisubiri uchunguzi wa polisi ikizingatiwa kuwa yeye alikuwa akihutubia hapo. POlisi wanasema Mushi aliwapiga watuhumiwa wengiwe huko sero na alijibamiza kichwa kwenye ukuta, hatujamsikia Manumba wala Kova kwenda au kuzungumzia hili, UTENDAJI WA POLISI MBONA HAUKO CONSTISTANCE
kARIBU JAMII FORUMS Home of great Thinkers,
Au umebadilisha jina?
alimaanisha consistent.