Damu ya Lissu yawakomboa wanasingida dhidi ya shida ya maji

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
825
baada ya damu ya lissu kumwaga na wasiojulikana sasa ni wazi damu yake haikumwagika bure.

Kama Vile Damu ya Yesu ilivyomwagwa msalabani ma kuwa sababu ya wokovu wetu, wana singida wamejikuta matatizo yao ya muda mrefu sasa yakitafutiwa ufumbuzi.

Mawaziri wawili wako singida wakisimamia miradi ya maji na kuhakilisha yanatoka

Watesi wa Lissu wanafanya kila linalowezekana kumfanya asahaulike kwa watu wake ea Singida Mashariki, lakini wakati huo huo wanyaturu wanafahamu kuwa sadaka aliyotoa Lissu ndo sababu hasa ya yanayoendelea.
 
Damu inaleta ukombozi kwa namna ya kipekee kabisa, kabla ya Damu Ya Lissu hakuna waziri wala Rais aliyewahi kufika hapo, vivyo hivyo ndivyo itakavyokuwa kwa ukombozi wa Taifa letu la Tanzania.

Mungu huleta vijisababu ambavyo kwa akili ya kawaida sisi wanadamu huishia kulalamika kumbe tusing'amue Uwezi na Kipawa cha Mwenyezi Mungu.
 
Singida maji yapatikane kwa kweli,maji ni shida sana
Nilienda sehemu inaitwa shelui ni aibu kuadisia
 
Hakika nauona mwanga mkubwa wa watanzania kukombolewa kutoka kwenye makucha ya mkolini mweusi
Damu inaleta ukombozi kwa namna ya kipekee kabisa, kabla ya Damu Ya Lissu hakuna waziri wala Rais aliyewahi kufika hapo, vivyo hivyo ndivyo itakavyokuwa kwa ukombozi wa Taifa letu la Tanzania. Mungu huleta vijisababu ambavyo kwa akili ya kawaida sisi wanadamu huishia kulalamika kumbe tusing'amue Uwezi na Kipawa cha Mwenyezi Mungu.
 
baada ya damu ya lissu kumwaga na wasiojulikana sasa ni wazi damu yake haikumwagika bure.
Kama Vile Damu ya Yesu ilivyomwagwa msalabani ma kuwa sababu ya wokovu wetu, wana singida wamejikuta matatizo yao ya muda mrefu sasa yakitafutiwa ufumbuzi.
Mawaziri wawili wako singida wakisimamia miradi ya maji na kuhakilisha yanatoka
Watesi wa Lissu wanafanya kila linalowezekana kumfanya asahaulike kwa watu wake ea Singida Mashariki, lakini wakati huo huo wanyaturu wanafahamu kuwa sadaka aliyotoa Lissu ndo sababu hasa ya yanayoendelea
Sioni link hapa zaidi ya mahaba niue.
 
Tuwe makini kufananisha baadhi ya mambo na YESU,jenga hoja yako itaeleweka vizuri
 
Na nyinyi mnakufuru sasa! Ni ujinga kutoa mfano wa damu ya Yesu iliyomwagika msalabani kuukomboa ulimwengu na dhambi na binaadam yeyote yule. Acheni ujinga kwani hamwezi kusifia bila kulitaja jina la Yesu? Na mbaya zaidi unakuta mleta mada ni mkiristo! Shame on you. Kumbukeni usilitaje bure jina la Mungu wako
 
Pumbafu sana wewe zwazwa

Back
Top Bottom