Damu ya kisasi inanitesa

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
1,013
1,634
Habari wana jamvi,

Mimi ni mtoto wa nje ya ndoa.

Nina ndugu zangu sita ambao nimekutana nao kwa baba.

Kwa bahati mimi pekee ndio niliobahatika kupata Elimu mpaka ya chuo ngazi ya Diploma ingawa Elimu yangu nimeipata kwa tabu sana kwa sababu ndugu zangu hawa pamoja na mama yangu wa kambo walipinga kabisa Mimi kusomeshwa na mzee wangu.

Ilinilizmu kujisomesha mwenyewe kuanzia kidato cha Tano mpaka chuo tena shule ya private.

Yaani baada ya kumaliza kidato cha nne nilikaa nyumbani nikijishugulisha na shughuli za mitaani mpaka nikapata ada ya kuendelea na Advance level.

Baada ya kumaliza Advance nilikaa tena mtaani ili kutafuta ada ya chuo na kweli nilifanikiwa na kujiunga na Diploma ya kilimo na mifugo.

Wakati napambana hivi ili kupata Elimu yangu ndugu zangu walikua wakiniona kama mjinga wao walikua wamezikamata Mali za baba ambayo ni mashamba na walikua wakigawana posho nzuri tu kila wanapouza mazao ambayo ni machungwa.

Ndugu zangu hawa haikutosha walikua wananionyesha uadui wa wazi wazi na maneno ya kejeli mitaani kwamba mimi sitafika popote.

Nilipomaliza chuo kulikua na changamoto za ajira hapo ndugu zangu ndio walizidi kunisema na kunikejeli.

Ila Mungu alisaidiwa nikapata project ya miaka minne kwenye shirika moja kubwa tu la wazungu.

Nilitumia fursa hii kujipanga.

Nilianzisha miradi yangu ya kilimo nilinunua mashamba na kuanzisha biashara ya uwakala wa huduma za kifedha.

Mungu amesaidia si haba mambo yangu yanaenda.

Sasa wale ndugu zangu wanasambaza kwamba siwasaidii nina Roho mbaya
Ila damu ya kisasi imenikamata.

Nashindwa kuwasamehe
 
Wasamee ila usiwaweke karibu
 
Pole sana kwa changamoto hii. Ndugu muda mwingine ni mtihani kweli kweli. Muombe Mungu akuongoze njia sahihi ya kufanya. Lakini ishi nao kitaalamu na kuwa mbali nao tu. meza imegeuka sasa wewe wanakuona mbaya. Mungu ni mwema wakati wote, muombe atakuongoza ndugu.
 
Habari wana jamvi,

Mimi ni mtoto wa nje ya ndoa.

Nina ndugu zangu sita ambao nimekutana nao kwa baba.

Kwa bahati mimi pekee ndio niliobahatika kupata Elimu mpaka ya chuo ngazi ya Diploma ingawa Elimu yangu nimeipata kwa tabu sana kwa sababu ndugu zangu hawa pamoja na mama yangu wa kambo walipinga kabisa Mimi kusomeshwa na mzee wangu.

Ilinilizmu kujisomesha mwenyewe kuanzia kidato cha Tano mpaka chuo tena shule ya private.

Yaani baada ya kumaliza kidato cha nne nilikaa nyumbani nikijishugulisha na shughuli za mitaani mpaka nikapata ada ya kuendelea na Advance level.

Baada ya kumaliza Advance nilikaa tena mtaani ili kutafuta ada ya chuo na kweli nilifanikiwa na kujiunga na Diploma ya kilimo na mifugo.

Wakati napambana hivi ili kupata Elimu yangu ndugu zangu walikua wakiniona kama mjinga wao walikua wamezikamata Mali za baba ambayo ni mashamba na walikua wakigawana posho nzuri tu kila wanapouza mazao ambayo ni machungwa.

Ndugu zangu hawa haikutosha walikua wananionyesha uadui wa wazi wazi na maneno ya kejeli mitaani kwamba mimi sitafika popote.

Nilipomaliza chuo kulikua na changamoto za ajira hapo ndugu zangu ndio walizidi kunisema na kunikejeli.

Ila Mungu alisaidiwa nikapata project ya miaka minne kwenye shirika moja kubwa tu la wazungu.

Nilitumia fursa hii kujipanga.

Nilianzisha miradi yangu ya kilimo nilinunua mashamba na kuanzisha biashara ya uwakala wa huduma za kifedha.

Mungu amesaidia si haba mambo yangu yanaenda.

Sasa wale ndugu zangu wanasambaza kwamba siwasaidii nina Roho mbaya
Ila damu ya kisasi imenikamata.

Nashindwa kuwasamehe
Roho mbaya yao ndio mafanikio yako,Kisasi si juu yako,mwachie Mungu aliyekuinua mkuu!
 
Back
Top Bottom