Damu ya hedhi na ibada za kiimani

Acha uongo , damu ya hedhi mwanaume ukiwekewa kwenye chakula au kinywaji na ukinywa unakufa . Na hakuna maabara itakayo weza kutoa majibu ya kifo chako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja tu, niweke shida yangu hapa , unisaidie. Ni hivi Mimi ninaangaika mda mrefu kuhusu mke wangu, hedhi yake haipo sawa anapata hedhi baada ya miezi mitatu, nimeenda hosptali imeshindikana, nimeenda kwa watalamu wakaniambia alikanyaga tego , lakini lile tego hakutegewa yeye, sasa tego hilo ndio limeharibu mfumo wake wa mzunguko wa hedhi.

Kwa hiyo, ametumia dawa nyingi sana za kienyeji lakini bado siku hazija kaa sawa, tumeshindwa hata kupanga jinsi ya kupata Mtoto.
Naomba msahada wako mkuu jinsi ya kutoa tego hilo mwilini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh hizi habari za matego si za kuamini sana na hawa ndugu zetu waganga inabidi kuwa nao makini sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sasa mtu awezaje kujinasua kutoka kwenye uchawi wa hedhi aliofanyiwa? i mean kama nyota ya mwanamke imebebwa kupitia hedhi anawezaje mtu kujinasua?
 
Mshana, vipi ukipiga shoo ukakutana na damu hiyo,nini madhara yake kiafya? kuna imani kuwa kumsogelea mwanamke aliye hedhi ni laana kubwa, ndiyo maana wengine wamehalarishiwa wake kadhaaa
 
Mshana, vipi ukipiga shoo ukakutana na damu hiyo,nini madhara yake kiafya? kuna imani kuwa kumsogelea mwanamke aliye hedhi ni laana kubwa, ndiyo maana wengine wamehalarishiwa wake kadhaaa
Hayo ni mambo ya imani ila kiafya haishauriwi kwakuwa ile damu ni chafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…