Damu nzito

Damu nzito

Kwa muda ulio andika uzi huu, inaonekana wewe ndie muhusika wa tukio hili na limekua likikunyima usingizi kwa muda mrefu.
Anyway.....
Ebu ngoja wajua mambo kuntu waamke kwanza, alafu nitarudi kuona nini wamekushauri
 
Ampe ukweli maana alikuwa ameishasemaa toka mwanzo
Tatizo nadhani Dada anaijali zaidi Ndoa yake, hivyo kwake ni bora afe na ukweli wake rohoni kuliko kuivunja Ndoa inayokaribia miaka ishirini sasa.
 
Mwambie ajitahidi apate kitu chenye DNA ya huyo mtoto na mimi nitamfanyia kipimo cha DNA bure. Hakuna haja ya kuvunja ndoa ya watu kwa jambo dogo kama hili.
DNA si mpaka makubaliano ya pande mbili, na umeshaona hapo Dada hataki ushirikiano wowote na huyo jamaa.
 
Jingaa kabisa MTU alishindwa kutunza ,Leo anataka mtoto watu tumeowa primary mpaka tukafukuzwa home,,Leo tumemeki life na watoto wetu wanatuita kaka,, Japo mi ni me kwa kweli wanaume wa jinsi hiyo wananikera sana maana uwezo wakufikiri ni zero alijua atakuwa mtoto milele,,Amuache mama wa watu aendeleee na ndoa yake
Jamaa hakuwahi kukataa mimba...ni kwamba Mwanamke alimjulisha ujauzito na hapohapo kwa nia njema akamwambia asiumize kichwa aendelee na masomo yake, na kwa vyovyote dada alishakuwa na mipango yake na yule Kaka (house boy) wa jirani.

kumbuka hapa ilikuwa mapenzi kati ya Mtoto wa nyumbani na Dada wa kazi...na inavyoonyesha Dada alikuwa anampenda Jamaa toka moyoni ili hali Dogo alikuwa anatumia tu advantage ya kuwa mtoto wa Boss.

Hivyo Dada alijua swala la mimba lingempotezea Dogo ramani ya masomo akaamua kumuepusha kwa roho safi kabisa...tatizo ni sasa Jamaa anamuona yule Binti, na anaamini ni wa kwake ndio roho ya Jamaa inauma.
 
Ahaaaaaaaaa nani kakakwambia kuwa wanaodonate sperm =baba mzazi? Ahaaà baba wa mtoto ni yule aliyemlea atulize wenge uko
Hata mimi ningedhani hivyo...ila Jamaa anasisitiza kuwa anataka tu confirmation kutoka kwa Mama mzazi...ili akiwa anamuangali yule Binti ajue ni damu yake....na anasisitiza kuwa hatofanya chochote zaidi, ila hata mimi simuamini kama ni kweli akishaujua ukweli atatulia?
 
Kuna kigogo wa serikalini alikufa na usongo, mtoto ambae hakumlea amekuja kuwa na mafanikio makubwa na anatumia ubin wa baba mwingine, eti kijana ameoa na maisha yake anampigia simu kuwa mimi ndiyo baba yako, kijana akamwambia usirudie tena maneno hayo.
Ila hii Dunia kweli rangi rangile...mimi nimeshashuhudia Dada wa umri mkubwa kabisa alipopewa ukweli kuhusu Baba yake halisi (kuna mmbea alimropokea lakini sio Mama yake), Mdada yule alihangaika mpaka akaenda kumpata Baba huyo...alafu cha ajabu yule Baba naye akawa na mapozi balaa...hata hakushtuka kihiiivyo.

Ila Dada wa watu akaridhika tu moyoni kwa kumtambua baba yake halisi, na mpaka leo ni siri yake na Mama yake, na Baba wanayeishi naye bado anasimamia show kama kawa wala hajui kinachoendelea.
 
Kwa muda ulio andika uzi huu, inaonekana wewe ndie muhusika wa tukio hili na limekua likikunyima usingizi kwa muda mrefu.
Anyway.....
Ebu ngoja wajua mambo kuntu waamke kwanza, alafu nitarudi kuona nini wamekushauri
Noooooooo....
 
Ila hii Dunia kweli rangi rangile...mimi nimeshashuhudia Dada wa umri mkubwa kabisa alipopewa ukweli kuhusu Baba yake halisi (kuna mmbea alimropokea lakini sio Mama yake), Mdada yule alihangaika mpaka akaenda kumpata Baba huyo...alafu cha ajabu yule Baba naye akawa na mapozi balaa...hata hakushtuka kihiiivyo.

Ila Dada wa watu akaridhika tu moyoni kwa kumtambua baba yake halisi, na mpaka leo ni siri yake na Mama yake, na Baba wanayeishi naye bado anasimamia show kama kawa wala hajui kinachoendelea.
Ahh hata mimi nikimjua ukubwani aishie zake huko, bila ya yule aliyenipa chakula, nguo, malezi nisingefika hapa nilipo.
 
Damu nzito 10+ years later? Mwambie achanganye na maji iwe nyepesi. Jamaa aache ubinafsi.
 
enzi hzo hana mbele wala nyuma aliona poa tu kumzingua mshakaj leo hii jamaa kakaza kaweka familia anataka kwenda kumuharbia atulie zake hyo imekula kwake mazima
 
Damu nzito 10+ years later? Mwambie achanganye na maji iwe nyepesi. Jamaa aache ubinafsi.
10yrs ni kwa sababu walipoteana...kumbuka ni karibia miaka ishirini iliyopita mawasiliano hayakuwa kama sasa...yule Jamaa mwenyewe wa jirani na Dada wa kazi walitoroshana na kwenda kupanga chumba.

Hivyo Jirani alibaki anamtafuta House boy wao na kule kwa kina jamaa wakabaki wanamtafuta House girl wao...mpaka baadae sana ndio walikuja kuunganisha dot.
 
Regardless, jamaa aache ubinafsi. Kama hiyo familia iko stable na wametulia, awaache waendelee tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom