mike2k
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 1,558
- 3,413
Habari humu ndani....
Nahitaji ushauri wenu hapa...kuna binti nina uhusiano naye kwa kipindi cha miezi mitatu....tangu nianze naye uhusiano kaona siku zake mzunguko mmoja tu mara mbili badala ya mara tano ka ilivyo kawaida ake.juzi kaenda kupima mimba kwa kutumia kipimo cha mkojo akaniambia kuwa hakuona chochote.....ila kuanzia jioni bleed ikaanza kumtoka isivyo kawaida kupitiliza hali imezidi kuwa mbaya mpk jana kaenda hospital....... Wamemchoma sindano mchana na jion na sijui wamempa cristapen pamoja na vidonge vya majira.....wakamwambia kuwa chanzo cha tatizo ni kwamba damu imetapakaa kwenye kizazi...
Wataalam wa afya mlioko huku ndani naombeni mnisaidie jambo hivi ni nini kinasababisha hali hii itokee kwa bleed kutoka mabonge mabonge?
Je,damu kutapakaa kwenye kizazi ni nini chanzo?
Hivyo vidonge vya majira alipewa vya nini?
Naombeni ushauri wenu ili mnitoe katika wasiwasi