Damu Itamwagika

Damu Itamwagika

Kama nitapata nafasi Ya hata dakika moja kuwa waziri wa Elimu Nchi hii!!!, basi kitu cha kwanaza nitaanzisha somo la CRITICAL thinking kuanzia o-level.
 
Nilitamani sana kujizuia kuchangia kuhusu haya mambo lakini uzalendo umenishinda.

Kama huyo mtu unaemsema kweli kasomeshwa na kugharamiwa na serikali huoni kwamba umemuweka ktk hatari tayari?

Unafikiri serikali haijui zilipo asset zake muhimu, sensitive and volatile kama huyo jamaa?

Unafikiri ni ngumu kumtambua huyo ni nani? Idadi ya hao enlisted special agents ni chache sana kiasi kwamba wakianza ku-factor out wanaweza kumpata dakika 5 tu.

Kama ulikuwa unataka kumsaidia ndugu yetu Mdude CHADEMA asikumbwe na jambo la kutisha ni bora ungeungana na chama chake na wanainchi wengi kupiga kelele na kuhabarisha ulimwengu.

Hivi vitisho vyako vya kitoto ni kuwaonesha hao wababe kwamba upo desparate and hopeless huna la kuwafanya bali vitisho. Hapo umewapa ushindi usio na ulazima.
Bashir alikua anadharau kama jiwe anavyojiamini na sasa yuko ndani ya gereza lilelile alilowatesa wakosoaji wake
 
Hakuna mwenye ubavu huo, na kama yupo basi atakuwa bogaz asiejipenda
 
Mkuu,I am not desperate,and I do not care what they do to Mdude or any body for that matter.It is the matter of time,place and purpose.Mdude did his part and got the rewards and so will everybody else,you included and when the time comes you will not know what is happening just as you do not see now
What makes you say I don't see what is happening?
Didn't I offer my cent on what should be done with minimal casualities?

What you have done here may lead to more victims in the tally.

That hero of yours could be another victim if not you. Did you consult him before making this thread?

I bet the guy would opted another approach rather than making mere threats which pokes the wounded lion.
 
Yeye bado ni mbwa tu,asijejaribu kudhani ana uspecial wowote eti sababu kagharamiwa akasome nje, na amefanywa adhani yuko peke yake makusudi ili asigundue kwamba atakaponyanyua mdomo kumuuma boss, wapo wenzie wanaommudu watatumwa wamzimishe.

Naam, kwani haitafahamika anafanya kwa nia njema au ametumwa pia kwa maslahi ya wengine, aisee ni kazi sana.
 
Hapo jamaa anaongele Mungu
ni Mungu pekee akisema yatosha
mambo yote yatakuwa sawa
Mungu atatoa adhabu kwa watawala Wetu wenye viburi, Wababe, katiri,Watesaji, wasiopenda kukosolewa na wanaojiona kuwa wao ndio wenye haki ya kuishi kwa Amani Nchi hii na kutumia rasirimali za Nchi hii Hakika adhabu yao ni kutupwa katika ziwa liwakalo Moto
Siku zao zina hesabika
 
Ee Mungu wa Mbingu na Nchi. Irehemu nchi yangu Tanzania.
 
Kuna mtu amekaa mahali anatazama yanayoendelea duniani,Anataza yanayoendelea nchini na anatazama yanayoendelea Tanzania.

Huyu mtu sio mtu mzuri sana wala sio mtu mbaya.Kwa sasa hana uwezo wa kufanya chochote ila anao uwezo mkubwa sana.

Acheni hayo mnayoyafanya msijemuamsha mmwagaji damu huyu.Yeye hatafanya kwa woga wala kwa kujificha,wala hatakosea na kubahatisha.Hatatisha watu wala kuwadanganya bala atamwaga damu.

Amepewa mafunzo kwa gharama za nchi hii,anaishi maisha ya anasa kwa gaharma za nchi hii na kwamba anaona yanayoanyika ya kwamba sio haki ila bado amekaa kimya.Anaumia ila anaamini kwamba soon mtatambua kwamba hapendezwi na hali hii na mtabadilika.Ni mtu mbaya sana.

Mtu huyu anaweza kumuua Kiongozi yeyote mkubwa wa nchi bila hata kumfikia,anaweza kuua maelfu ya raia bila hata kumuona.Ni mtu ambaye ana ilimu ya silaha za kikemia,kibaioloji na kidigitali.Ni mtu ambaye tayari ameandaliwa kwa ajili ya mapambano.

Amekaa kimya ila anawaona na anaona kinachofanyika na hakijamfurahisha.

Acheni kuwasumbua wananchi kwa vitisho mbabe wao akiinuka nchi haitatawalika.

Kumbuka mbabe huyu haitaji umaarufu wa kisiasa,hahitaji utajiri,wala hahitaji kusaidiwa na mtu yeyote.Vita yake atapigana mwenyewe.Anaingia ikulu kama nyumbani na anao uwezo wa kuingia katika ofisi yoyte ya umma na kufanya lolote atakalo

Acheni udhalimu kabala hamjafikwa na udhalimu
Mkuu nimekuelewa sana.. anasubiri tusimamie mguu mmoja atupige mtama.
 
Unatishia watu kumwaga damu as if kuna atakayeishi milele?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom