Damu Itamwagika

Damu Itamwagika

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,264
Reaction score
4,449
Kuna mtu amekaa mahali anatazama yanayoendelea duniani,Anataza yanayoendelea nchini na anatazama yanayoendelea Tanzania.

Huyu mtu sio mtu mzuri sana wala sio mtu mbaya.Kwa sasa hana uwezo wa kufanya chochote ila anao uwezo mkubwa sana.

Acheni hayo mnayoyafanya msijemuamsha mmwagaji damu huyu.Yeye hatafanya kwa woga wala kwa kujificha,wala hatakosea na kubahatisha.Hatatisha watu wala kuwadanganya bala atamwaga damu.

Amepewa mafunzo kwa gharama za nchi hii,anaishi maisha ya anasa kwa gaharma za nchi hii na kwamba anaona yanayoanyika ya kwamba sio haki ila bado amekaa kimya.Anaumia ila anaamini kwamba soon mtatambua kwamba hapendezwi na hali hii na mtabadilika.Ni mtu mbaya sana.

Mtu huyu anaweza kumuua Kiongozi yeyote mkubwa wa nchi bila hata kumfikia,anaweza kuua maelfu ya raia bila hata kumuona.Ni mtu ambaye ana ilimu ya silaha za kikemia,kibaioloji na kidigitali.Ni mtu ambaye tayari ameandaliwa kwa ajili ya mapambano.

Amekaa kimya ila anawaona na anaona kinachofanyika na hakijamfurahisha.

Acheni kuwasumbua wananchi kwa vitisho mbabe wao akiinuka nchi haitatawalika.

Kumbuka mbabe huyu haitaji umaarufu wa kisiasa,hahitaji utajiri,wala hahitaji kusaidiwa na mtu yeyote.Vita yake atapigana mwenyewe.Anaingia ikulu kama nyumbani na anao uwezo wa kuingia katika ofisi yoyte ya umma na kufanya lolote atakalo

Acheni udhalimu kabala hamjafikwa na udhalimu
 
Sikio la kufa halisikii 'baniani mbaya kiatu chake'.
 
Tunaendelea kuombea nchi yetu amani hiyo damu haitamwagika. BALI hata inayomwagika itakoma kama ktk Jina la Mungu mkuu Jehova.
 
Kuna mtu amekaa mahali anatazama yanayoendelea duniani,Anataza yanayoendelea nchini na anatazama yanayoendelea Tanzania.

Huyu mtu sio mtu mzuri sana wala sio mtu mbaya.Kwa sasa hana uwezo wa kufanya chochote ila anao uwezo mkubwa sana.

Acheni hayo mnayoyafanya msijemuamsha mmwagaji damu huyu.Yeye hatafanya kwa woga wala kwa kujificha,wala hatakosea na kubahatisha.Hatatisha watu wala kuwadanganya bala atamwaga damu.

Amepewa mafunzo kwa gharama za nchi hii,anaishi maisha ya anasa kwa gaharma za nchi hii na kwamba anaona yanayoanyika ya kwamba sio haki ila bado amekaa kimya.Anaumia ila anaamini kwamba soon mtatambua kwamba hapendezwi na hali hii na mtabadilika.Ni mtu mbaya sana.

Mtu huyu anaweza kumuua Kiongozi yeyote mkubwa wa nchi bila hata kumfikia,anaweza kuua maelfu ya raia bila hata kumuona.Ni mtu ambaye ana ilimu ya silaha za kikemia,kibaioloji na kidigitali.Ni mtu ambaye tayari ameandaliwa kwa ajili ya mapambano.

Amekaa kimya ila anawaona na anaona kinachofanyika na hakijamfurahisha.

Acheni kuwasumbua wananchi kwa vitisho mbabe wao akiinuka nchi haitatawalika.

Kumbuka mbabe huyu haitaji umaarufu wa kisiasa,hahitaji utajiri,wala hahitaji kusaidiwa na mtu yeyote.Vita yake atapigana mwenyewe.Anaingia ikulu kama nyumbani na anao uwezo wa kuingia katika ofisi yoyte ya umma na kufanya lolote atakalo

Acheni udhalimu kabala hamjafikwa na udhalimu
Kama nchi zote Africa zitaondawa viongozi wao ambao ni madictetor makatili mafisadi kwa kupitia massuprising nguvu za umma Tz ndo itakua ya mwisho kwenye hilo, you know why?
Miaka 50 ya CCM wananchi wametegenezewa uoga ulio pitiliza.

Wananchi wengi wamepewa elimu duni wala iwasaidie kujitambua.

Viongozi wa dini wote wameshatekwa na nivibaraka,

Siasa zimeisha gawanya wananchi hawana msimamo wapamoja
 
Sasa kamaana uwezo huo si atuondolee shetani anayetesa watu tilioni hamsini bila sababu kwa kuwa tu ni kichaa .
 
Nilitamani sana kujizuia kuchangia kuhusu haya mambo lakini uzalendo umenishinda.

Kama huyo mtu unaemsema kweli kasomeshwa na kugharamiwa na serikali huoni kwamba umemuweka ktk hatari tayari?

Unafikiri serikali haijui zilipo asset zake muhimu, sensitive and volatile kama huyo jamaa?

Unafikiri ni ngumu kumtambua huyo ni nani? Idadi ya hao enlisted special agents ni chache sana kiasi kwamba wakianza ku-factor out wanaweza kumpata dakika 5 tu.

Kama ulikuwa unataka kumsaidia ndugu yetu Mdude CHADEMA asikumbwe na jambo la kutisha ni bora ungeungana na chama chake na wanainchi wengi kupiga kelele na kuhabarisha ulimwengu.

Hivi vitisho vyako vya kitoto ni kuwaonesha hao wababe kwamba upo desparate and hopeless huna la kuwafanya bali vitisho. Hapo umewapa ushindi usio na ulazima.
 
Wachache sana wataelewa,Ni nani,yuko wapi anafanya nini?Ila fahamuni kwamba huyu anao uwezo wa kubadilisha kila jambo swali ni je,Ndio njia sahihi?Kumwaga damu ya wengi?
 
Hao wachache ni sponsor wake.
Unamuweka pabaya sana kwa post hii.
 
Mkuu,I am not desperate,and I do not care what they do to Mdude or any body for that matter.It is the matter of time,place and purpose.Mdude did his part and got the rewards and so will everybody else,you included and when the time comes you will not know what is happening just as you do not see now
 
Umeshamaliza kuangalia fiction n myth movies,nenda kaoge uende shule wenzako wamesha fungua shwain.
 
Kuna mtu amekaa mahali anatazama yanayoendelea duniani,Anataza yanayoendelea nchini na anatazama yanayoendelea Tanzania.

Huyu mtu sio mtu mzuri sana wala sio mtu mbaya.Kwa sasa hana uwezo wa kufanya chochote ila anao uwezo mkubwa sana.

Acheni hayo mnayoyafanya msijemuamsha mmwagaji damu huyu.Yeye hatafanya kwa woga wala kwa kujificha,wala hatakosea na kubahatisha.Hatatisha watu wala kuwadanganya bala atamwaga damu.

Amepewa mafunzo kwa gharama za nchi hii,anaishi maisha ya anasa kwa gaharma za nchi hii na kwamba anaona yanayoanyika ya kwamba sio haki ila bado amekaa kimya.Anaumia ila anaamini kwamba soon mtatambua kwamba hapendezwi na hali hii na mtabadilika.Ni mtu mbaya sana.

Mtu huyu anaweza kumuua Kiongozi yeyote mkubwa wa nchi bila hata kumfikia,anaweza kuua maelfu ya raia bila hata kumuona.Ni mtu ambaye ana ilimu ya silaha za kikemia,kibaioloji na kidigitali.Ni mtu ambaye tayari ameandaliwa kwa ajili ya mapambano.

Amekaa kimya ila anawaona na anaona kinachofanyika na hakijamfurahisha.

Acheni kuwasumbua wananchi kwa vitisho mbabe wao akiinuka nchi haitatawalika.

Kumbuka mbabe huyu haitaji umaarufu wa kisiasa,hahitaji utajiri,wala hahitaji kusaidiwa na mtu yeyote.Vita yake atapigana mwenyewe.Anaingia ikulu kama nyumbani na anao uwezo wa kuingia katika ofisi yoyte ya umma na kufanya lolote atakalo

Acheni udhalimu kabala hamjafikwa na udhalimu
Sikio la dawa halisikii kufa
 
Yaani kama Syria sio
Wachache sana wataelewa,Ni nani,yuko wapi anafanya nini?Ila fahamuni kwamba huyu anao uwezo wa kubadilisha kila jambo swali ni je,Ndio njia sahihi?Kumwaga damu ya wengi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom