<!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->Zinduna, unajua huwa sielewi hii avatar yako, ebu nifafanulie kama ni ngumu kufafanua ebu sogeza hiyo laptop kidogo![]()
We jamaa wewe...!
Hahaaaaa....tundu gani hilooooooo?Una bahati kidogo tu ungelikosa si unaona kichwa karibia kinachomoka kwenye mtego kama..... inavyochomoka kwenye tundu
na watu wambeya pia wanahusika hapa.....Kwa wale wa kusini sasa!
Kanonaje!
acha roho mbaya uuaji huo
Kwa wale wa kusini sasa!
Kanonaje!
Na Mbeya wamo?! Nilikuwa sijui hilo.na watu wambeya pia wanahusika hapa.....
wamo bwana, nilisikia makala juzi BBC wazee wakizungumza, mbaya zaidi hadi paka wanapiga.....!Na Mbeya wamo?! Nilikuwa sijui hilo.
wamo bwana, nilisikia makala juzi BBC wazee wakizungumza, mbaya zaidi hadi paka wanapiga.....!