Dalili...!!

Mwite u'r small house, na mkeo akiwepo, mwambie aje na hile card ya Ester, uchane hile card mbele ya my wife wako, muombe mkeo msamaha mwambie hautakaa uludie na huyo small house mwambie akukome, wewe unaye anayekupa usingizi ambaye ndo huyo my wife wako kwa hiyo small house akukome kabisa. Husifanye kavu kavu bila mabusu moto moto hata kama ni ya kulazimisha.

Anao ubavu wa kuamua kasheshe linaloweza kuzuka hapo! Isitoshe Small house hana kosa; alifuatwa na kwa kuwa naye ni muhitaji akakubali!
 
lakini kaka nawe usilalamike sana, hii ni zamu yako ya kuumia naamini shost pia aliumia sana alipogundua una kasmall hause. Labda ndo anafanya malipizi ya kusalitiwa, kama unaona anakuboa sana nenda kwa small hause yako ujipoze kidogo, una sehemu nyingi za kujipumzisha bwana
 
inaonekana alivyofumwa na mkadi wako huo inaonekana mwenzako amekwazika sana na amepoteza sana imani na wewe,pia wewe inaonyesha ukuonyesha kutubu na kujutia makosa ndio maana imani imepotea, hiyo ya kutumia condom ujue ni kwamba anaogopa utamwambukiza UKIMWI uliotoka nao kwa ki small house

Kama kweli mkeo ni mwenye msimamo ujue kuwa itafika kipindi kama hutajirekebisha ataondoka na mtaachana

Nini cha kufanya:
1. Mtoe mkeo out kisha umwombe msamaha na ujutie kosa lako ki ukweli
2. Nenda nae ukapime ngoma ili arudishe imani juu ya tendo la ndoa na wewe
3. Achana kabisa na hiyo small house itakuletea matatizo makubwa provided imeshajulikana
4. Jitahidi kuwa karibu sana na mkeo kipindi hiki.
5. Ikitokea umechelewa kurudi kutoka job mpe taarifa mapema kwani hana tena imani na wewe
6. Mtoke wote kipindi cha weekend na sehemu ulizozoea kwenda peke yako uende nae
7. Mrudie Muumba wako muanze taratibu za kwenda kwenye ibada pamoja
8. Usiwe unaficha ficha simu yako mwachie uhuru awe anaitazama ( huko under probation muda wowote ndoa inaweza vunjika)
9. Kuwa mpole kipindi hiki na jaribu kumwelewesha kwa upole akikuuliza kitu
10. Usitafute kujua kama mkeo kakuchoka, jibu ni kwamba hana imani na wewe anajuta kuolewa na wewe na kama ukiona matatizo yamezidi nendeni kwa wataalam wa saikolojia wanaweza kuwasaidia

Kama utafuata hizo kanuni zote hapo juu nakuhakikishia ndoa/uhusiano wako utarudi kwenye mstari, halafu wewe nawe wa wapi mpk uanze kutuma makadi kwa mademu wa nje, huu ni mwiko kabisa kwa wataalam, achana na kukaa na evidences kama unatoka nje inakuwaje mpk mkeo akushike na kadi lol. Halafu ukishaoa unatakiwa kuwa mwangalifu kama kupiga unapiga ila sio unakolea mpk unapeleka kadi mtu wangu sio kabisa

kuwa mjanja ukichapa demu baadae unamkimbia sio unaweka kambi kabisa wakati una mke, na kama ukiona anakuganda sana unamtoa nduki, usijenge imani na demu wakati anajua kabisa kuwa una wako halafu yeye anakukubali na ww unakolea kosa kubwa sana, kaa na wenzako wakufunze sio unakurupuka tu ndoa itakushinda

Duh nimeongea sana, samahani kama nimemkwaza mtu
 
Asante sana mtu wangu. Yani umenifungua macho na masikio ikiwemo na akili pia. Sasa sijui nimuanzaje, nafikiria kumuandikia e-mail ila sio siri naogopa kabisa, na meneno na hisi yameshaniishia.
 
Funzadume na wengineo hao wataalam washauri wa saikolojia wako wapi wanapatikanaje kwa watu wetu wa kawaida? Nikitaka kumwelekeza mtu akawaone anende wapi?
 
Hii post unaonyesha wewe ni HE

Za leo wandungu wapendwa katika jamii hii,

Naomba kuuliza hivi ni dalili zepi ambazo mwanaume atajua kuwa mumsapu kamchoka na kumkinai kabisa. Maana kuna dalili nizionazo mimi zanichanganya kabisa simuelewi mwenzangu kama ndo ameshanichoka, anapretend au natingishiwa kiberiti. Niorodhesheeni dalili zote za mwanamke aliyemchukoka mumewe hapa tafadhalini, nisije nikageuka kuwa chizi hivi hivi.
Na hapa unaonyesha wewe ni She
Yangu niliiamua kuivua baada ya Mr. kuvua yake kisa eti anashikashika maji sana. Ok, mbona basi wkend au siku mnapotoka wote asiivae,yeye niwakukumbushwa tuu kila siku.
unanichanganya uje Ufafanuzi tafadhali ili nijue jinsi ya kukushauri.Au ni taipingi era?
 
Hii post unaonyesha wewe ni HE

Na hapa unaonyesha wewe ni She

unanichanganya uje Ufafanuzi tafadhali ili nijue jinsi ya kukushauri.Au ni taipingi era?

hii ndo JF mamii................HAHAAAAA!!

ukiwa muongo basi usiwe msahaulifu anagalua eeeeeeeeeeh!!!!!!
 
Hii post unaonyesha wewe ni HE

Na hapa unaonyesha wewe ni She

unanichanganya uje Ufafanuzi tafadhali ili nijue jinsi ya kukushauri.Au ni taipingi era?
duh mwenyewe nimetoa ushauri kumbe mtu mwenyewe ana jinsia mbili lol.. kanipotezea muda na akili zangu bure

NAJUUUTA KUMFAHAMU
 
This is a forum of great thinkers, cha muhimu wewe changia mada kulingana na mada...ya ngoswe muachie ngoswe. Asanteni kwa waachangiaji wote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom