Dalili zipi za mtu aliyechepuka?

Kama nmekuelewa kumbe hivi vichwa vinavyouma baada ya mtu kutoka mizunguko na mtu kuamua kulala inawezekana vikaashiria kitu
 
Aaarghh tafuta ile dawa ya kung'ang'aniana wakukutana usihangaike sana. Ni mkeo au nae ni mchepuko wako?
 
Kumbeee..Wiiiiizy mtupu
 
Kwa kizazi hiki ni ngumu sana mtu anachepukia gesti utajuaje?
 
Wazee wetu wa zamani walikuwa wanawambia wavue nguo wachuchumae,halaf anamnusisha ugoro kwenye pua,akipiga chafya tu, kama ametoka kuliwa shahawa lazima zitoke zidondoke
Hahaaha dah..... Ananusishwa ugoro kwa muda gani mkuu?
 
Wazee wetu wa zamani walikuwa wanawambia wavue nguo wachuchumae,halaf anamnusisha ugoro kwenye pua,akipiga chafya tu, kama ametoka kuliwa shahawa lazima zitoke zidondoke
Hahahaahaha...dah..watu wabunifu sana
 
Kama ni mwanaume,na mna mtoto mchanga akifika home tu anataka akaoge fasta.mama jua hapo umeshanyonyeshewa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…