Ngemaita
Member
- Nov 4, 2016
- 84
- 33
Jaman naomba kuuliza hv inaweza kuwa kweli kuugua nakupata dalili zinafanana na ukimwi na apime kila baada ya miez mitatu mara nne namaanisha mwaka mzima na matokeo kila kupima ni negative (HIV -VE) je huyo mtu atakuwa ni kweli hajaathirika au ni vipimo kushindwa kutoa ukweli, naomba wenye uelewa mnifafanulie asanteni.