Dalili za mwisho wa Dunia

Dalili za mwisho wa Dunia

Albosignathus

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
4,898
Reaction score
1,051
Wana JF
Nimekuwa nikifanya tafakari mbalimbali kuhusu mwisho wa dunia kwa kusoma vitabu na nakala mbalimbali, kwamba siku za mwisho watu watapenda vitu vikubwa, vizuri na vingi. Watu wazima kwa wadogo hushabikia bunduki kubwa japo zinauwa, Ndege kubwa! B2 japo zinauwa, hata dada zetu nao hutaka madushelele makubwa na hata baadhi ya wachungaji kushindana kwa pesa na wala sio kiroho.

Hata sisi wanaume baadhi yetu hupenda wanawake wenye makalio makubwa. Kama una la kuongezea unaweza kuongezea kwa maana mwisho wa dunia una dalili nyingi sana.
 
...sasa ndo nini hiki umeandika ? unataka dalili..? si umesha ziona,sema jambo la kuwasaidia watu. mi nilijua una ujumbe kwa wananchi kuhusu mtazamo wako juu ya dalili za mwisho wa dunia kumbe maroroso tu...!!
 
JF inavamiwa na ndoroooobo.... mods thread kama hizi zinajaza server tu za kufutwa
 
...sasa ndo nini hiki umeandika ? unataka dalili..? si umesha ziona,sema jambo la kuwasaidia watu. mi nilijua una ujumbe kwa wananchi kuhusu mtazamo wako juu ya dalili za mwisho wa dunia kumbe maroroso tu...!!

ndio makala anazosoma za mawowowo makubwa.
 
Hivi shule zishafungwa kwa likizo wakuu au ndo mambo ya weekend, watu wanaamka na mninginio
 
mm nimependa hapo kwenye mawowo makubwa tu daah mate yananidondoka hapa
 
Wana JF.Nimekuwa nikifanya tafakari mbalimbali kuhusu mwisho wa dunia kwa kusoma vitabu na nakala mbalimbali,kwamba siku za mwisho watu watapenda vitu vikubwa,vizuri na vingi.Watu wazima kwa wadogo hushabikia bunduki kubwa japo zinauwa,Ndege kubwa! B2 japo zinauwa,hata dada zetu nao hutaka madushelele makubwa na hata baadhi ya wachungaji kushindana kwa pesa na wala sio kiroho.Hata sisi wanaume baadhi yetu hupenda wanawake wenye makalio makubwa.Kama una lakuongezea unaweza kuongezea kwa maana mwisho wa dunia una dalili nyingi sana.


Ongeza na hii;
Dalili nyingine watu watapost sana utumbo kwenye JF
 
Inaelekea mleta mada unapenda sana makalio makubwa😀
 
Back
Top Bottom