Dalili za mwanamke anayekupenda

Yakuombwa hela mara kwa mara haipo???Maana mimi nahisi napendwa pale ninapoombwa pesa
 
Mi hua nasema kama mwanaume : usitafute kupendwa na Mwanamke.
Tafuta kumpenda Mwanamke.

Ukipendwa angali haumkubali haitakua na tija yoyote.



Sent using Jamii Forums mobile app
umenena mkuu, mambo ya kuumizana moyo ya nini?
vzr mwanaume aanze kupenda bhana na sio mwanamke unaanza tu nakwambia uombe Mungu ulikopenda upendwe mbali na hapo jeraha la moyo litakuhusu
 
tafuta pesa tu hata kama una sura mbaya utauliziwa na kutafutwa hakuna mapenzi siku hizi mapenzi ni pesa zako
 
Mie sipendagi mwanamke wa kunipigiapigia simu mara kwa mara hasa ninapokua busy,but napenda kutoka nae out ijumaa na jmosi,kisha j2 tunapumzika home na kufanya usafi wa nyumba na mavazi kwa ajiri ya kuanza(working days monday-friday)
 
ZILIPENDWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…