Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,474
* Hupenda kukuona mara kwa mara hata kama hajapata taarifa za ugonjwa.
* Hupenda kukupigia sim mara kwa mara hata kama umelala.
* Hupenda kukuletea vizawadi kila anapotoka safarini.
* Hupenda kujikesha hata kama haujamchekesha.
* Hupenda akae na wewe kila wakati hata kama una kazi zako.
* Hupenda kukuulizia kwa watu wako wa karibu hata kama amekuona sehemu.
Mwenye nyongeza aongezee.............
Sent using Jamii Forums mobile app